Posts

MAMIA YA WATU WAJITOKEZA KUAAGA MTOTO NASRA UWANJA WA JAMHURI MORO

Image
Umati wa watu uliofurika kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kuaga mwili wa Nasra. Wanafunzi wa Shule za Msingi Mkoani Morogoro nao walijumuika kumuaga mtoto Nasra Rashid katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro.

MANISPAA YA KINONDONI YAVUNJA VIBANDA-MWENGE

Image
Askari wakiwa makini kuhakikisha amani inakuwepo. Baadhi ya maaskari wakisimamia usafishwaji wa barabara za mwenge. Huu ni muonekano wa sasa wa… Askari wakiwa makini kuhakikisha amani inakuwepo. Baadhi ya maaskari wakisimamia usafishwaji wa barabara za mwenge. Huu ni muonekano wa sasa wa mwenge. Meza zote zinakusanywa hapa. Kazi nyingine itakuwa ni kuzibua hii mitaro. Afisa mahusiano wa manispaa ya kinondoni, Sebastin Muoera kifatilia shughuli hiyo. Tingatinga likivunja. Mgambo wa jiji wakibeba meza zilizopo kando ya maduka ili kuzikunsanya. Wananchi wakitazama kwa makini. Huu ndiyo muonekanao wa sasa katika standi ya mwenge. Kamera yetu imefanikiwa kuona zoezi zima la uvunjwaji na uondolewaji wa vibanda vilivyokuwa kando ya soko la mwenge ili kupisha ujenzi wa two ways,kuzibua mitaro iliyoziba na pia kuacha wazi barabara zinazozunguka eneo hilo. (Picha zote na Gabriel Ng’osha/GPL)

ADIDAS YATOA MPIRA WENYE SENSA

Image
Kampuni ya adidas wametoa mpra wa miguu ambao una uwezo wa kutoa takwimu za mchezaji na kupeleka kwenye gajaeti za iOS, yaani iPhone, iPad na iPod Touch kwa kutumia app ya Micoach. Mpira huo unajulikana kama Micoach Smart Ball una sensa mbali mbali ikiwemo bluetooth. Mbali na mpira huo kuchukua takwimu kwa ajili ya kuchambua uchezaji wako, kasi ya mashuti, jinsi unavyopindisha free kick na kadhalika app ya mpira huo pia hutoa maelekezo mbali mbali ambayo yatasaidia jinsi unavyocheza mpira, hasa katika mambo kama vile freekick kona na kupiga mashuti. Miongoni mwa mambo maalum yanayofundishwa na app ya Micoach ni jinsi ya kuumudu mprira (ball mastery), kupiga mpira (ball striking), kupiga mashuti (striking with power) na jinsi ya kupindisha au kuvusha mpira kwenye ukuta wa freekick (around the wall na over the wall). Hivyo takwimu ambazo utazipata zinakuwa kama vile kasi ya shuti lako ni 70 mph ma spin ni 48 rpm. Hivyo hii Micoach smart ball pia itakuwezesha

MTAZAME MPENZI WA MSANII YOUNG KILLER AKIWA AMEJIFUNIKA KWA PESA HUKU KIFUA CHAKE KIKIONEKANA

Image
 Picha hizi zimezua story kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii, baada ya Demu wa Rapper anaechipukia kutoka Tz kuonekana akiwa amejimwagia pesa juu ya kifua chake huku  sehemu ya chuchu upande mmoja ikiwa wazi.   Pengine ni furaha ya pesa imesababisha mpigaji picha na mpigwaji kutokuona hiyo sehemu, pia imeleta mtazamo tofauti kwa watu kuwa Rapper huyo ameshaanza kuvuta mpunga kwa sasa hivyo kama pesa zinampa mzuka wa kufanya haya.CHANZO HASSBABYTZ J E,HUU NI ULIMBUKENI AU NDIO USUPER STAA, TUPE MAONI YAKO? USISAHAU KULIKE PAGE YETU YA FACEBOO KWA HABARI NA MATUKIO ZAIDI

MAGAZETI YA LEO JUMANNE TAREHE 03.06.2014

Image
  MAGAZETI YA UDAKU                             MAGAZETI YA MICHEZO