MANISPAA YA KINONDONI YAVUNJA VIBANDA-MWENGE

Askari wakiwa makini kuhakikisha amani inakuwepo.
Baadhi ya maaskari wakisimamia usafishwaji wa barabara za mwenge.
Huu ni muonekano wa sasa wa…
Askari wakiwa makini kuhakikisha amani inakuwepo.
Baadhi ya maaskari wakisimamia usafishwaji wa barabara za mwenge.
Huu ni muonekano wa sasa wa mwenge.
Meza zote zinakusanywa hapa.
Kazi nyingine itakuwa ni kuzibua hii mitaro.
Afisa mahusiano wa manispaa ya kinondoni, Sebastin Muoera kifatilia shughuli hiyo.
Tingatinga likivunja.
Mgambo wa jiji wakibeba meza zilizopo kando ya maduka ili kuzikunsanya.
Wananchi wakitazama kwa makini.
Huu ndiyo muonekanao wa sasa katika standi ya mwenge.
Kamera yetu imefanikiwa kuona zoezi zima la uvunjwaji na uondolewaji wa vibanda vilivyokuwa kando ya soko la mwenge ili kupisha ujenzi wa two ways,kuzibua mitaro iliyoziba na pia kuacha wazi barabara zinazozunguka eneo hilo.
(Picha zote na Gabriel Ng’osha/GPL)

Comments

Popular posts from this blog