Posts

HUYU NDO MCHUMBA WA HASHIM THABEET 'BEE ANDERSON' AKIWA NA MTOTO ALIEZAA NA HASHEEM THABEET HIVI JUZI

Image
     Hasheem Thabeet akiwa girlfriend wa Fox Sports Radio, Bee Anderson. Bee na Hasheem wamepata mtoto wakiume waliempa jina la Prince Thabeet.  Hapa juu ni picha za mtoto akiwa mikononi mwa mama yake Bee Anderson

AUNT EZEKIEL AFANYA KUFURU ILALA ATUNZA MILIONI MOJA NA USHEKHE KWENYE SHUGHULI YA SHOGA YAKE ZAWADI KIBIRITI

Image
Muigizaji wa filamu nchini,  Aunt Ezekiel akiwa ameshika noti kwa ajili ya kumtunza shoga yake Zawadi Kibiriti wakati wa shughuli iliyofanyika Ilala Dar es salaam leo Ezekiel alifunga mtaa kwa utunzaji wake ambapo ametunza shilingi milioni moja na zaidi wakati wa shughuli hiyo iliyoudhuliwa na wakazi wengi wa jiji la Dar es salaam ususani wakazi wa ilala na vitongoji vyake picha na   www.burudan.blogspot.com Muigizaji wa filamu nchini,  Aunt Ezekiel akimtunza kwa mbwembwe Zawadi Kibiriti  picha na  www.burudan.blogspot.com Muigizaji wa filamu nchini,  Aunt Ezekiel akimtunza kwa mbwembwe Zawadi Kibiriti  picha na www.burudan.blogspot.com Muigizaji wa filamu nchini,  Aunt Ezekiel akiwa ameshika noti kwa ajili ya kumtunza shoga yake Zawadi Kibiriti wakati wa shughuli iliyofanyika Ilala Dar es salaam leo Ezekiel alifunga mtaa kwa utunzaji wake ambapo ametunza shilingi milioni moja na zaidi wakati wa shughuli hiyo iliyoudhuliwa na wakazi wengi wa jiji la Dar es sa

ANGALIA PICHA ZA AJALI MBAYA ZILIZOTOKEA ASUBUHI YA LEO

Image
Toyota Coaster T 916 BQE  ikiwa imetumbukia mtaroni maeneo ya Sinza Mapambano. Ikionekana kwa nyuma ilipokuwa ikivutwa baada ya kutumbukia mtaloni maeneo ya Sinza Mapambano. Gari nyingine aina ya Toyota Coaster T 561 CJA  iliyoacha njia na kuingia mtaloni katika Barabara ya Mandela. Ikionekana kwa nyuma mara baada ya kutumbukia mtaloni kwenye Barabara ya Mandela. Gari ndogo aina ya Toyota Corolla iliyoharibiwa vibaya baada ya kugongwa na Coaster. Wasamaria wema wakisaidia kulitoa gari, Toyota Corolla barabarani. Gari moja lililokuwa likivutwa na ‘Breakdown’ mara baada ya kuharibika njiani. Haikufahamu gari hilo liliharibikia maeneo gani. Ajalli mbaya zimetokea asubuhi hii maeneo ya Sinza Mapambano na baada ya gari kubwa (coaster) kuigonga gar ndogo (teksi) na kuingia mtaoni. Hakukuwa na watu walioumia vibaya. Ajali nyingine imetokea katika Barabara ya Mandela ambapo coaster moja imeacha njia na kutumbukia mtaroni. Hakukuwa na abiria zaidi ya dereva peke yak

ANGALIA PICHA MWILI WA MSANII ADAMU KUAMBIANA UKITOLEWA HOSPITALI YA MAMA NGOMA, MWENGE DAR

Image
Mwili wa Marehemu  Adam Kuambiana ukitolewa nje ya Hospitali  ya   Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kupelekwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kuhifadhiwa leo mchana huu. ...Mwili wa Marehemu  Adam Kuambiana ukiwekwa kwenye gari tayari kupelekwa Muhimbili kuhifadhiwa. Hospitali  ya   Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam alikofia Msanii Kuambiana. ...Msanii aliekuwa akicheza filamu moja na marehemu katika Hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remy, Dar akilia kwa uchungu nje ya Hospitali ya Mama Ngoma leo mchana huu. ...Wasanii wakilia kwa uchungu nje ya Hospitali ya Mama Ngoma leo mchana huu. (PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL)

RAIS KIKWETE AMFARIJI JAJI WARIOBA KWA KUFIWA NA MKWE WAKE

Image
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha kumbukumbu alipokwenda kuhani msiba wa mama mkwe  wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (aliyesimama pembeni) ,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,    Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe   wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik, Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifariji wanafamilia baada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe   wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu Hedwig Laurent Ojjik, Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014  Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na Jaji Joseph Warioba na mkewe  Mama Evelyne Warioba walipokwenda kuhani na kutoa heshima za mwisho katika msiba wa mama mkwe   wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu Hedwig Laurent Oj

BREAKING NEWS: MSANII ADAM KUAMBIANA AFARIKI DUNIA

Image
Adam Kuambiana enzi za uhai wake. MWIGIZAJI na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu alfajiri ya kuamkia leo. Marehemu alianguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remy, Dar. Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo.   Marehemu Kuambiana katika muonekano wake wa siku zake za mwisho za uhai wake ...katika pozi na msanii Irene Uwoya   ...(kushoto) akiwa na wasanii wenzake JB (kutoka kulia), Tino na Mtangazaji wa Clouds TV, Zamaradi BAADHI YA KAZI ALIZOCHEZA/KUONGOZA MAREHEMU KUAMBIANA:       R.I.P Adamu Kuambia, we gonna Miss you!  -  MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!

P FUNK AFUNGA NDOA YA SIRI

Image
BAADA ya kuishi maisha ya kisela kwa muda mrefu, hatimaye mtayarishaji nguli wa muziki Bongo, Paul Mathyasse ‘P Funk’ ameoa kwa siri. Mtayarishaji nguli wa muziki Bongo, Paul Mathyasse ‘P Funk’ wakati wa harusi yake. Taarifa kutoka kwa chanzo makini kilichoshuhudia tukio hilo, lilichukua nafasi jijini Arusha mwishoni mwa wiki iliyopita kwa usiri mkubwa. Imeelezwa kuwa, P Funk aliamua kumuoa rasmi mzazi mwenzake, Samira baada ya kuishi naye kwa miaka kadhaa kama mke na mume lakini haikujulikana mara moja sababu za kuweka usiri katika tukio hilo la kheri. Maharusi wakipongezwa na ndugu na jamaa zao baada ya ndoa. “Jamaa (P Funk) amevuta jiko rasmi kwa siri kubwa lakini ameamua kufanya siri hata sijui ni kwa nini, tukio limechukua nafasi huku Arusha na watu kadhaa walialikwa lakini mastaa siyo wengi. “Sherehe imefana, watu wamekula, wamekunywa kwelikweli maana misosi ilikuwepo ya kumwaga,” kilisema chanzo hicho. Chanzo hicho kilizidi kumwaga data kuwa, ka

HUU UJIO WA DVJ PENNY KATIKA MITANDAO YA KIJAMII NI SHIDA, TAZAMA PICHA ZA KIHASARA HASARA ALIZOZIACHIA MTANDAONI....!!

Image