Posts

P FUNK AFUNGA NDOA YA SIRI

Image
BAADA ya kuishi maisha ya kisela kwa muda mrefu, hatimaye mtayarishaji nguli wa muziki Bongo, Paul Mathyasse ‘P Funk’ ameoa kwa siri. Mtayarishaji nguli wa muziki Bongo, Paul Mathyasse ‘P Funk’ wakati wa harusi yake. Taarifa kutoka kwa chanzo makini kilichoshuhudia tukio hilo, lilichukua nafasi jijini Arusha mwishoni mwa wiki iliyopita kwa usiri mkubwa. Imeelezwa kuwa, P Funk aliamua kumuoa rasmi mzazi mwenzake, Samira baada ya kuishi naye kwa miaka kadhaa kama mke na mume lakini haikujulikana mara moja sababu za kuweka usiri katika tukio hilo la kheri. Maharusi wakipongezwa na ndugu na jamaa zao baada ya ndoa. “Jamaa (P Funk) amevuta jiko rasmi kwa siri kubwa lakini ameamua kufanya siri hata sijui ni kwa nini, tukio limechukua nafasi huku Arusha na watu kadhaa walialikwa lakini mastaa siyo wengi. “Sherehe imefana, watu wamekula, wamekunywa kwelikweli maana misosi ilikuwepo ya kumwaga,” kilisema chanzo hicho. Chanzo hicho kilizidi kumwaga data kuwa, ka

HUU UJIO WA DVJ PENNY KATIKA MITANDAO YA KIJAMII NI SHIDA, TAZAMA PICHA ZA KIHASARA HASARA ALIZOZIACHIA MTANDAONI....!!

Image

ANGALIA PICHA MTOTO AFARIKI BAADA YA KUANGUKIWA NA JIWE KUBWA

Image
   Mtoto mmoja aliyefahamika kwa Jina la Malaika Jackson amefariki dunia Muda huu ( saa kumi jioni ) baada ya kuangukiwa na Jiwe  kubwa lililoporomoka wakati baba yake akichimba kokoto katika mlima Giza, maarufu  kama mlima wa Rada uliopo maeneo ya Kiseke, Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza  Kabla ya kufikwa na mauti hayo, Mtoto huyu alikuwa na baba yake mzazi aliyefahamika kwa jina la Jackson Ismail, mama yake mzazi na mdogo wake wakipata chakula cha mchana baada ya kuponda mawe kutwa nzima....   Huyu ni baba wa mtoto, bwana Jackson Ismail akimwangalia mwanae kwa uchungu.. Wangali wakipata chakula hicho, baba aliwahi kumaliza na hivyo kuendelea na kazi hiyo ya kuponda mawe huku mkewe na watoto wakimalizia kupata chakula....  Wakati bwana Ismail akiendelea kuyaporomosha mawe hayo,ghafla alisikia mtikisiko mkubwa na hivyo kumtaka mkewe na watoto watoke haraka.....  Mama akiwa na mtoto mchanga waliwahi kunyanyuka na kutoka,lakini kabla binti Malaika mwenye

ANGALIA MATESO ANAYOPATA MWENZETU,MSAADA WA HARAKAUHAHITAJIKA.

Image
Kijana Amos Ng’arare Sasi (21) mkazi wa kijiji cha Kizaru wilayani Musoma Vijijni   Kwa kipindi hiki kijana Amos, ambaye anatoka Kata ya Mryaza, amelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya matibabu, lakini matarajio ya kupona kwa tiba za hapa nchini hayapo hivyo njia pekee iliyobaki ni kwenda nchini India kwa matibabu zaidi. Kijana Amos Ng’arare Sasi (21) mkazi wa kijiji cha Kizaru wilayani Musoma Vijijni amepoteza mwelekeo wa maisha baada ya ndoto yake ya kusoma hadi chuo kikuu kuishia njiani kutokana na matatizo ya ugomjwa wa ajabu ambao umemtesa kwa kipindi cha miaka 17. Kwa kipindi hiki kijana Amos, ambaye anatoka Kata ya Mryaza, amelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya matibabu, lakini matarajio ya kupona kwa tiba za hapa nchini hayapo hivyo njia pekee iliyobaki ni kwenda nchini India kwa matibabu zaidi. Katika mahojiano na Mwananchi wiki iliyopita akiwa Wodi Namba 21, Sewahaji, Amos alionekana mwenye mawazo kupita kiasi. “Ndoto yang

UVUMILIVU NI SOMO LA MAISHA, UPO TAYARI KUJIFUNZA?

Image
Kuna mtu mmoja alishawahi kusema hivi, “Mwonekano wako ni halisi unapojionyesha wakati wa mambo magumu, huwezi kuwa zaidi ya hivyo katika utu wako”. Ukiendelea kuwahukumu watu wengine kutokana na tabia zao huwezi ukaona kitu kizuri ndani yao. Badala ya kumwona mfanyakazi mwenzako ni mtata, msumbufu, katili , hana utu, jaribu kumwona mtu huyo kama mwema na anahitaji kueleweka. Tafuta kitu kizuri ndani yake na uweze kwenda naye kwa hicho kizuri. Ingawa mambo kama hayo yamejengeka kwa muda mrefu kutokana na wapi mtu huyo alizaliwa, maisha gani amepitia na mambo gani yameikabili familia yake akiwa mtoto, kama wazazi kupigana, kutoonyeshwa upendo kwa wazazi wake mwenyewe hivyo kuathirika na vitu vingi. Unapojaribu kuchukuliana na udhaifu wa mtu mwingine na jinsi alivyo unahitaji uvumilivu. Fikiria kwamba kuna mfanyakazi unataka abadiLike kutokana na tabia zake, je yuko hapo kukufundisha nini? je wanakupa mwangaza gani na wewe kujiona kwenye kioo? Mara nyingine ni

MAISHA MAZURI NI NINI? NINI TAFSIRI YA MAISHA BORA?

Image
Tunapoutizama ulimwengu, kila mtu anataka maisha mazuri na wakati mwingine unakaa kujiuliza maisha hayo mazuri ni yapi? Katika Tanzania hii tumechanganya maisha mazuri na kuwa na fedha nyingi au utajiri. Na imetupelekea vijana wengi tukaanza kufanya vitu vya ajabu ili tuwe na maisha mazuri bila kujua hayo maisha mazuri ni yapi? Inategea na uelewa wako wa mambo na sehemu ambayo ulilelewa. Maisha mazuri ni pale ambapo unaridhika na kile ulichonacho,kupata mahitaji ya msingi ya kibinadamu kulingana na eneo ulilopo. Mfumo wa maisha unabadilika kila siku, na tumekuwa na tafsiri tofauti tofauti kuhusu maisha mazuri bali ukweli wa mambo ni kwamba ukishindwa kuridhika na kufuruahia ulichonacho sasa itakuwa ngumu kujua kama unamaisha mazuri. tatizo litakuja pale unapotaka kujilinganisha na watu wengine au marafiki zako na unajikuta unaanza kuishi kulingana na watu wengine au marafiki zako wanavyotaka au kuelezea maisha mazuri. Kuna watu walifikiri watu wenye ma

MPENZI WA CHRISTAN RONALDO AAMBULIA MATUSI MAZITO NA KUSHAMBULIWA NA MASHABIKI BAADA YA KUPOST PICHA AKIWA UTUPU NA BANGO LILILOANDIKWA "BRING BACK OUR GIRLS

Image
  Tangu wasichana 276 wa Nigeria walipotekwa nyara na kundi la Boko Haram, watu mbalimbali maarufu duniani wamepost picha kwenye mitandao ya kijamii wakiwa na mabango yaliyoandikwa ‘Bring back Our Girls’, ikimaanisha wanajiunga na kampeni ya raia wa Nigeria.   Mwana mitindo Irina Shayk ambaye ni mpenzi wa mchezaji wa mpira wa miguu Christian Ronaldo yeye amepost picha kwenye twitter na Instagram akiwa amepoz mtupu huku akiwa ameshikilia bango linaloonesha amejiunga na kampeni hiyo, na bango hilo ndilo lililofunika kifua chake. Hata hivyo kitendo chake hakikuungwa mkono na baadhi ya followers wake ambao walionesha moja kwa moja hisia kwa kumshambulia kuwa ameenda kinyume na maadili. “Pretty tasteless and disrespectful. No class. This is exactly the justification terrorists are probably using to prevent women from receiving 'western education.”  Aliandika mtu mmoja. Mwingine aliona kama amefanya dharau kwa kuwa tatizo hilo sio la nchi kubwa

BAADA YA WAFANYA KAZI WA SAMSUNG KUPATA KANSA, HATIMAYE KULIPWA NA KAMPUNI

Image
Kampuni kubwa duniani ya vifaa vye elektroniki, Samsung inasema kuwa itawalipa fidia wafanyakazi wake waliougua Saratani kutokana na kufanya kazi katika viwanda vyake. Kampuni hiyo iliomba radhi kwa kesi ya muda mrefu kati yake na wafanyakazi hao waliokuwa wanadai fidia na badala yake kukubali kujiondoa katika kesi hiyo huku ikikubali kuwalipa fidia wagonjwa hao. Hatua ya Samsung kukubali kuwalipa wafanyakazi hao inaleta matumaini katika kukamilika kwa mvutano huo ambao ulionekana kukwama kwa muda mrefu Lakini afisa mkuu mtendaji wa kampuni hiyo, Kwon Oh-hyun nusura kukiri kuwa kulikuwa sababu ya wafanyakazi hao kupatwa na Saratni ilichangiwa na wao kufanya kazi katika kiwanda cha Samsung. Wengi walipata Saratani ya damu au Leukaemia. Bwana Kwon alisema wafanyakazi kadhaa katika viwanda vyetu walipatwa na Saratani ya damu na kuugua magonjwa mengine yasiyokuwa na tiba ambayo yalisababisha baadhi yao kufariki.''   tulipaswa kumaliza

MTOTO WA MWAKA MMOJA AANGUKA KUTOKA GHOROFA YA 11 NA KUNUSURIKA KIFO

Image
Mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja amenusurika kifo baada ya kuanguka kutoka orofa ya 11 ya jengo moja mjini Minnesota Marekani. Vyombo vya habari katika jimbo hilo vimeripoti kuwa Musa Dayib, amevunjika mkono mara mbili na kwa sasa anapumua kwa usaidizi wa mashine japo madaktari wanamtarajia kuishi. Musa aliteleza katikati ya mianya inayozingira sebule yao katika orofa ya 11 ya mjengo huo wenye nyumba na makazi ya watu. Muuguzi mkuu katika zahanati aliyolazwa amesema kuwa Musa anatarajiwa kuishi baada ya kuanguka katika eneo lisilo kavu sana. Jamaa na marafiki wa familia hiyo ya kisomali wamepigwa na butwaa kutokana na tukio hilo. Tukio hilo lilizua mjadala kama ni muujiza au la kuwa amenusurika kifo lakini watafiti wameelezea kuwa mtoto ananafasi nzuri zaidi ya kuishi hata baada ya kuanguka ama kupatwa na janga lolote lile kwani mwili wao bado ni mwororo na mifupa ya mtoto huwa bado ni laini kinyume na mtu mzima ambaye tayari mifupa yake ni kavu n

ANGALIA PICHA ZA VURUGU ZILIZOTOKEA KWENYE MKUTANO WA UKAWA MOROGORO

Image
Kijana  mmoja amepigwakutoka kwa wafuasi wa Ukawa waliokuwa na mkutano mkoani Morogoro jioni hii baada ya kudaiwa kuwa miongoni mwa waliomteka Mbunge Rose Kamli wakati wa uchaguzi mdogo jimboni Kalenga, mkoani Iringa. Njemba huyo akipokea kichapo kutoka kwa wafuasi wa Ukawa mkoani Morogoro na baadaye kuokolewa na polisi. Mwenyekiti wa Bavicha, John Heche akithibitisha kumtambua kijana huyo anayedaiwa kushiriki kumteka mbunge wao kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika Jimbo la Kalenga, lringa. Mmoja wa viongozi wa Chadema mkoa wa Morogoro, lnnocent Zawadi ambaye alikuwepo jimboni Kalenga naye akithibitihsa pia kumtambua kijana huyo. Njemba huyo ambaye hakufahamika jina lake mara moja, aliangushiwa kipigo baada ya kuibuka na kuanza kumpiga picha Mwenyekiti wa Bavicha Taifa, John Heche. Baada ya kipigo cha nguvu, njemba huyo alinusuriwa na polisi waliomchukua kumtoa mikononi mwa wafuasi hao. Mwenyekiti huyo wa Bavicha akithibitisha kumtambua kijana huy

WASTARA AVISHWA PETE HUKO UK...!!! TAZAMA PICHA ZOTE HAPA LAIVU BILA KING'AMUZI..!!!

Image
    Wastara akivishwa pete ya uchumba From London With Love ...!!! Star mkubwa wa filamu nchini Tanzania Wastara Juma ambaye kwasasa yupo London Uingereza amevishwa pete ya uchumba huko na mwanaume anayeonekana hapo pichani. Wastara aliweka picha kadhaa kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii na wengine kudhani ni filamu mpya. Star mwenzake pia Riyama Ally ambaye wapo wote huko London nae aliandika "Ama kweli Mungu akitaka kukupa haandiki barua......, kila la kheri mama huu mwanzo mzuri kwako". Baada ya kuona picha hizo haraka sana Swahiliworldplanet ilimuendea hewani Wastara akiwa huko huko London na kumuuliza kama ni movie au ni kweli, tofauti na siku zote ambapo kama ni movie Star huyo huweka kweupe lakini safari hii alionekana hana la kusema pengine kwa furaha na kuishia kujibu kwa ufupi kwa kusema "No comment" alipododoswa tena alijibu hivyo hivyo tena "No comment". Wastara Monalisa, Riyama Ally na Cloud ni takribani wiki tatu

ZIJUE DALILI KUU ZA MWANAMKE ANAPOTAKA KUFIKA KILELENI

Image
Siku zote katika mapenzi hakuna kitu kizuri kama kuridhishana hususan katika tendo la ndoa, ukweli uliopo ni rahisi sana kwa mwanaume kuwahi kufika kileleni kuliko mwanamke hii inatokana na sababu nyingi kwa upande wa mwanaume suala la kuwahi kumaliza mapema linaweza kusababishwa na tatizo la nguvu za kiume na kukurupuka katika tendo kwa maana ya kuwahi kumuingilia mwanamke bila kufanya Romans/maandalizi ya kwanza kabla ya tendo na kwa upande wa wanawake suala la kuchelewa kufika kileleni ni asili yao kutokana na jinsi walivyoumbwa ila napenda ifahamike kuwa pamoja na wanawake kuumbwa hivi ila unauwezo wa kumfanya afike kileleni mapema kwa kuzingatia maandalizi ya awali kabla ya tendo inabidi utumie muda mwingi katika kumuandaa mpenzi wako kwa kumtomasa sehemu husika ili iwe njia rahisi ya wewe kumridhisha na kumfanya afike katika kilele cha raha.   1 . Dalili ya kwanza inayomuashiria mwanamke anapotaka kufika kileleni ni ya k

AFYA: DALILI ZA KUSAMBAA KWA KANSA YA MATITI

Image
 leo tunaelezea dalili za kusambaa kwa saratani hii mwilini.Kitendo cha kansa kusambaa mwilini kupitia mkondo wa damu na limfu huitwa metastasis.   Kusambaa kwa saratani hadi kwenye viungo na tishu muhimu kama vile ubongo, ini, mifupa au mapafu  bado kunaufanya ugonjwa huo kuwa hatari. Dalili za saratani kusambaa mwilini ni maumivu ya mifupa, maumivu kwenye titi, vidonda kwenye ngozi, kuvimba mkono karibu na eneo la saratani na kupungua uzito. Pia mgonjwa huweza kuhisi dalili tofauti kwa kutegemea saratani ya matiti imesambaa kwenye kiungo gani mwilini. Kwa mfano saratani ya matiti iliyosambaa kwenye ini inaweza kusababisha mwili kuwa manjano, kuongezea kiwango cha enzymes katika ini, kukosa hamu ya kula, kichefuchefu na kutapika.  Takwimu zinaonyesha kuwa, asilimia 70 ya wagonjwa wenye kusumbuliwa na saratani ya matiti, hupatwa na saratani iliyosambaa kwenye mifupa. Hii ni katika hali ambayo asilimia 10 huweza kupata saratani ya matiti il

A young male lion caught in a snare which slowly tightened around his neck

Image
A young male lion caught in a snare which slowly tightened around his neck as he grew older survived for three years as the siblings in his pride kept him alive by bringing him back prey they had hunted. The lion was first spotted trapped in the snare in Mikumi National park in Tanzania back in 2009 but about seven attempts of vets to tranquilise and rescue him failed.   After three years, the cord had become so tightly wrapped around the lion's neck that he was left unable to hunt and his gaping wound attracted flies and infection. But, eventually the lion was found by park rangers in August and vets managed to sedate him and cut away the electrical wire snare. According to William Mwakilema, Chief Park Warden in Mikumi National Park, by the time he was found he was so weak he was unable to hunt. He said that it's unusual situation because it is natural for pride to kill weak male lions instead of keeping him alive by sharing the food.

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA ALBINO AUAWA KINYAMA SIMIYU,AKATWA VIDOLE NA MGUU

Image
  MAREHEMU Nughu Lugata ambaye ni albino ameuawa na viungo vyake kuchukuliwa na watu wasiojulikana jana majira ya saa moja jioni huko Bariadi mkoani Simiyu. Nughu ameuawa kwa kukatwa mapanga na baadhi ya viungo vyake kama mguu wa kushoto na vidole vitatu kuchukuliwa na watu wasiojulikana. Marehemu alikuwa mkazi wa Gasuma akijishughulisha na kilimo.