Posts

BREAKING NEWZ: BUNGE LA KATIBA MVUTANO WAENDELEA BUNGE LAAHIRISHWA MPAKA SAA KUMI

Image
Mvutano Mkubwa Bado Umetawala Bunge Maalum Linaloendelea Mkoani Dodoma Hali Iliyopelekea Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Hilo Mh Pandu Kificho Kuliahirisha Bunge Hilo Mchana Huu Mpaka saa Kumi Jioni.Mvutano Mkubwa Upo namna ya Kupitisha Kunini ya Kuongoza Kanuni hiyo Kanuni Kuhusu Maamuzi ya Bunge Maalum la Katiba Yapitishwe kwa Kura ya Siri ama ya Wazi . Mvutano huo umetokea pale Kundi Moja waliposema Ipigwe Kura ya Kuamua Bunge Hilo Kutumia  Kura ya Siri ama ya Wazi Ndipo Majibizano yalipoanza Yakiambatana na Kuzomea kwa Baadhi ya Wajumbe walipopewa nafasi ya Kuzungumza.Bunge Hilo Limepitisha kanuni zote kwa asilimia 95 zilizobaki ni mbili tu lakini uamuzi wake unaleta Mvutano Mkubwa sana Katika Bunge hiloEndelea kuwa nasi Kwa Taarifa zaidi

PICHA ZA UTUPU ZILIZOPIGWA NA MWANAFUNZI WA UDOM ILI KUTANGAZA SOKO LA MWILI WAKE. TAZAMA HAPA

Image
Msichana aliyefahamika kwa jina la Seche Mautamu, amebainika kujiuza kupita mtandao wa kijamii wa facebook kwa kuweka picha zake za utupu.  Chini  ni picha zake alizozisambaza mtandaoni kupitia account yake ya facebook. Ukienda kwenye profile yakenenda kwenye About utaona AMESEMA anasoma UDOM! - See more at: http://shiladeux.blogspot.com/2014/03/picha-za-utupu-zilizopigwa-na.html#sthash.f2P9nVLX.dpuf

ZIFAHAMU FAIDA NA HASARA ZA STYLE HIZI 6 ZA KIUFUNDI KABLA YA KUFANYA TENDO LA NDOANA MWEZI WAKO

Image
  TUKUMBUSHANE:   JIFUNZE SEX STYLES ZA KUPEANA RAHA NA UTAMU ZAIDI NA MWEZI KUBORESHA PENZI.                                                                                                                1.FLATIRON FLATIRON Jinsi Ya Kujipanga Mwanamke alale kitandani uso ukiangalia chini makalio yaangalie juu, asisahau kubinua nyonga/makalio juu kidogo(kama mvivu kidogo aweke mto(pillow) chini ya kinena),kujibinua kwake kutaongeza raha na utamu zaidi Faida Za Hii Style Mwanamke anapata nafasi ya kuenjoy Raha na Utamu akiwa amerelax,na kwakuwa miili inakuwa imebanana sana,mashine ya mwanaume itaonekana kubwa kidogo Maujanja Ya Ziada Mwanaume awe anapump taratibu kwa juu sio lazima sana aingie deep,akumbuke kuhema vizuri asije akachoka haraka   FLATIRON How ?. You lie face down on the bed, legs straight, hips slightly raised. Benefit This position creates a snug fit. Your guy’s stuff will seem even larger. Bonus Some shallow thrusts and deep breathin

MFAHAMU MWANAMKE MWENYE NDEVU NDEFU KULIKO WOTE NA ANATISHIWA KIFO KWA AJILI YA NDEVU ZAKE!!

Image
Harnaam Kaur, mwanamke mwenye umri wa miaka 23 anayeishi katika mji wa Slough, Kusini Mashariki mwa Uingereza amepokea vitisho vya kuuawa kutoka kwa watu asiowafahamu kwenye mitandao kwa sababu ya ndevu zake nyingi zinazomfanya asitofautishwe kirahisi na mwanaume. Mwanamke huyo ambaye anakabiriwa na tatizo la kuwa na vinyweleo vingi  kupita kiasi, tatizo linalojulikana kitaalamu kama ‘polycystic ovary syndrome’, ameeleza kuwa alianza kupata tatizo hilo akiwa na umri wa miaka 11 na kwamba alikuwa akizinyoa mara mbili kwa wiki. Ameeleza kuwa alipokuwa shuleni alikuwa akionewa sana kwa kuitwa majina mengi ya kejeli kama ‘jike dume’, na kwamba alikuwa anashindwa hata kuwaangalia watu usoni na alipotoka shule alijifungia ndani siku zote asionekane mara kwa mara. Ameongeza kuwa kutokana na kuishi katika hali hiyo alifikia hatua akafikiria kujiua. Hata hivyo, Harnaam amesema kuwa amejiunga na dini ya Sikh na kubatizwa, na kwamba imani ya dini hiyo hairuhusu watu kunyoa

TP MAZEMBE WASHINDA, YANGA WATOLEWA CHAMPIONS LEAGUE + MATOKEO YA KOMBE LA SHIRIKISHO

Image

GODFREY MGIMWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI KATIKA MVUA KUBWA, WANANCHI WASEMA “NINI MVUA TUNASIKILIZA SERA”

Image
Mgombea  ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Bw. Godfrey Mgimwa akibebwa juu juu na wananchi mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa kampeni katika kijiji cha Wenda kata ya Mseke Iringa vijijini huku kukiwa na mvua kubwa ambayo hata hivyo haikuzuia kuendelea kwa mkutano huo, wananchi wa kijiji hicho walionekana kuwa na hamu kubwa ya kumsikiliza mgombea huyo wa (CCM) walisikika wakisema “Nini mvua sisi tunataka sera tu, tunataka tusikilize maneno ya huyu mgombea wa (CCM)”PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KALENGA) Mgombea  ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Bw. Godfrey Mgimwa akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Wenda huku mvua kubwa ikinyesha kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Bi. Jesca  Msambatavangu. Mkutano ukiendelea huku wananchi wakimsikiliza wakiwa katika mvua kubwa Wananchi hawa wakimsikiliza mgombea huyo wa CCM huku wakiwa wamejihifadhi katika moja ya mabanda y

RAIS DKT. KIKWETE AMJULIA HALI SALUM MKAMBALA

Image
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha Channel Ten na Magic Radio FM Bwana Salum Mkambala aliyelazwa katika Taasisi ya Mifupa katika Hospitali ya Taifa muhimbili baada ya kuapata ajali na kujeruhiwa vibaya wiki iliyopita(picha na Freddy Maro)

HII STORI YA MAISHA YA MWIGIZAJI MASANJA INAWEZA KUKUTOA MACHOZI

Image
Masanja Mkandamizaji si jina geni masikioni mwa watu wengi  kutokana na uwezo wake wa kuwavunja mbavu watazamaji pale anapoonekana katika runinga na Kundi la Original Comedy. Licha ya kufika hapo alipo sasa, anakiri wazi kuwa amepitia katika maisha magumu hususani wakati alipoamua kuanza maisha binafsi ya kujitegemea baada ya kutoka nyumbani kwa dada yake alipokuwa akiishi. Anasema kabla ya kuondoka kwa dada yake alimuomba amtafutie chumba ili ajitegemea na kuanza maisha binafsi kama kijana . Nilimwambia dada anitafutie chumba na alifanya hivyo ingawa alikuwa anahofia kama nitaweza ,basi nikapata 'geto' langu maeneo ya Tabata Aroma na nilitakiwa kulipa kodi ya TSh. 5,000 kwa mwezi, anasema Masanja. Anakiri wazi kuwa changamoto katika maisha ndizo zilizochangia kumfikisha mahali alipo sasa kwani licha ya kuwa katika hali ngumu Hakukata tamaa bali alizidi kujituma kwa nguvu zake zote. Anasema kuna wakati ilikuwa vigumu kuipata hata hiyo hela ya kodi kwahiy

DAYNA AWASHANGAA WASANII WANAOGOPA KUTONGOZWA...!SOMA ZAIDI HAPA...

Image
MKALI wa wimbo wa Mafungu ya Nyanya, Mwanaisha Said ‘Dyana’ amewataka wasanii wa kike chipukizi kuacha kuogopa kutongozwa kwani uamuzi unabaki kuwa kwao.   “Namshukuru Mungu mpaka hapa nilipofikia. Vikwazo ni vingi hususan kwa waimbaji wa kike lakini nawashangaa wale ambao wanakata tamaa ya kuendelea kuimba kisa kutongozwa. Wasiogope,” alisema Dayna ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wa Mimi na Wewe

ANGALIA PICHA ZA MWENYEKITI WA CHADEMA ALIYECHOMWA KISU MKOANI IRINGA

Image
Daktari akiwa amezamisha kidole chake kwenye jeraha la Ndugu Richard wakati alipokuwa akimsafisha kidonda baada ya tukio hilo.   Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kalenga, kwa taarifa zisizo rasmi zinasema wamchoma kisu cha Mbavu Ndugu Richard ambaye ni M/Kiti wa Tawi la CHADEMA la Kijiji cha Tagamenda   Ndugu Richard ambaye ni M/Kiti wa Tawi la CHADEMA la Kijiji cha Tagamenda akiwa amelazwa baada ya kushonwa   Ndugu Richard ambaye ni M/Kiti wa Tawi la CHADEMA la Kijiji cha Tagamenda Akionyesha jeraha lake maeneo ya kifuani.

DAWA YA MALARIA YA METAKELFIN YAMGEUZA KIJANA WA KIUME KUWA ALBINO MKOANI TABORA.

Image
AMA kweli hujafa, hujaumbika. Usemi huu una maana kubwa kwa kijana Hafidh Masokola, mkazi wa eneo la National Housing mkoani  Tabora  ambaye kwa miaka zaidi ya 40 alikuwa na ngozi isiyo na chembe ya tatizo, lakini sasa amegeuka albino.  Kwa mujibu wa Masokola, ambaye sasa ana umri wa miaka 47, alipata tatizo hilo kutokana na madhara ya dawa ya malaria aliyoimeza aina ya Metakelfin miaka minne iliyopita.  Na kutokana na tatizo hilo la kiafya lililobadilisha kabisa ngozi yake, amelazimika kujiunga na Chama cha Maalbino Tanzania. Masokola, mwenye mke na watoto watatu, anasema alipata uthibitisho wa kuathiriwa na aina hiyo ya dawa baada ya kufanyiwa uchunguzi wa kimaabara katika hospitali kadhaa, ikiwemo ya KCMC iliyopo Moshi, mkoani Kilimanjaro.  Katika mazungumzo na gazeti hili hivi karibuni, kijana huyo alisema aina hiyo ya dawa ilimponza kwa kunywa vidonge vitatu tu katika dozi yake ya kwanza mnamo Julai mwaka 2010. Akisimulia zaidi, alisema; “Baada ya kupima malar

ZIFAHAMU FAIDA NA HASARA ZA STYLE HIZI 6 ZA KIUFUNDI KABLA YA KUFANYA TENDO LA NDOANA MWEZI WAKO

Image
  TUKUMBUSHANE:   JIFUNZE SEX STYLES ZA KUPEANA RAHA NA UTAMU ZAIDI NA MWEZI KUBORESHA PENZI.                                                                                                                1.FLATIRON FLATIRON Jinsi Ya Kujipanga Mwanamke alale kitandani uso ukiangalia chini makalio yaangalie juu, asisahau kubinua nyonga/makalio juu kidogo(kama mvivu kidogo aweke mto(pillow) chini ya kinena),kujibinua kwake kutaongeza raha na utamu zaidi Faida Za Hii Style Mwanamke anapata nafasi ya kuenjoy Raha na Utamu akiwa amerelax,na kwakuwa miili inakuwa imebanana sana,mashine ya mwanaume itaonekana kubwa kidogo Maujanja Ya Ziada Mwanaume awe anapump taratibu kwa juu sio lazima sana aingie deep,akumbuke kuhema vizuri asije akachoka haraka   FLATIRON How ?. You lie face down on the bed, legs straight, hips slightly raised. Benefit This position creates a snug fit. Your guy’s stuff will seem even larger. Bonus Some shallow thrusts and deep breathing will