RAIS DKT. KIKWETE AMJULIA HALI SALUM MKAMBALA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha Channel Ten na Magic Radio FM Bwana Salum Mkambala aliyelazwa katika Taasisi ya Mifupa katika Hospitali ya Taifa muhimbili baada ya kuapata ajali na kujeruhiwa vibaya wiki iliyopita(picha na Freddy Maro)

Comments
Post a Comment