TAMU YA RAHA YA MAPENZI HULETWA NA KITU KIMOJA AMBACHO NI MUHIMU SANA...KISOME HAPA
Kama huna heshima kwa mwenzi wako, daima hutaona utamu wa mapenzi. Katika kukamilisha makala haya, leo nakuchambulia baadhi ya hasara ambazo unaweza kukumbana nazo ikiwa hutakuwa na maelewano mazuri na mwenzi wako kutokana na kushindwa kumheshimu. UTAKOSA AMANI Misongo (stresses) ya kimaisha inatesa. Inawezekana unafanya kazi sana. Wakati mwingine masuala ya kiofisi au biashara hayaendi kama inavyotakiwa. Unashinda siku nzima ukipigana kuhakikisha unaendelea mbele. Iwe umeajiriwa, umejiajiri au umeajiri! Kichwa hakitulii mpaka unahisi ni kizito. Kufikia hapo, bila… Kama huna heshima kwa mwenzi wako, daima hutaona utamu wa mapenzi. Hili nimelifafanua kwa takriban wiki tatu. Katika kukamilisha makala haya, leo nakuchambulia baadhi ya hasara ambazo unaweza kukumbana nazo ikiwa hutakuwa na maelewano mazuri na mwenzi wako kutokana na kushindwa kumheshimu. UTAKOSA AMANI Misongo (stresses) ya kimaisha inatesa. Inawezekana unafanya kazi sana. Wakati mwingine m