Posts

MWENYEKITI WA CCM ATIKISA KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA TUNGI MANISPAA YA MOROGORO

Image
 Mgombea wa Udiwani Kata ya Tungi manispaa ya Morogoro Kupitia CCM Ndugu Mzeru Paulo Akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Mogogoro Mh Juliana Mwenda Wakiwa Katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Udiwani kata ya Tungi.Kata hiyo inafanya Uchaguzi Mdogo wa Udiwani Baada ya Aliyekuwa Diwani Kata Hiyo Mh Mbao Mbao Kufariki Dunia Mwaka jana mara baada ya kusumbuliwa na Ugonjwa kwa Muda Mrefu.Uzinduzi Huo Umeambatana na Uzinduzi wa Sherehe za Chama cha Mapinduzi za Kutimiza Miaka 37.  Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Na Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mh Innocent Kalogeris Kulia akiwa na Katibu wa CCMwilaya ya Morogoro Katikati Pamoja na Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro Mh Romuli John leo wakati wa Uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Tungi.  Katibu wa Itikadi na Uenezi Mkoa wa Morogoro Mh Doroth Mwamsiku Aliyevaa Kofia Nyeusi Akiwa Pamoja na Mgombea wa Udiwani Kata ya Tungi manispaa ya Morogoro Kupitia CCM Ndugu Mzeru Paul  Mwenyekiti wa U

AJALI YA AINA YAKE: GARI LAINGIA NDANI KWA PRODUCER NA KUMGONGA HADI KUMSABABISHIA MAJERAHA,

Image
Producer Dupy Producer wa  UPRISE MUSIC DUPY  amegongwa na gari baada ya gari kugonga studio na kuingia  CHUMBANI  kwa DUPY akiwa amelala! Pia amepata majeraha kidogo tunashukuru mungu ni mzima ila  amepata maumivu ya mkono na kichwa kidogo ila all in all niko salama. HIZI NI BAADHI YA PICHA ZIKIONYESHA HARI ILIVYO ENEO LA TUKIO  

ANGALIA PICHA SIMBA WALIVYOICHAPA RHINO RANGERS

Image
 Ramadhani Singano 'Mess' (kulia), akishangilia bao pekee aliloifungia timu yake katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Rhino Rangers ya Tabora katika mchezo uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam..  Ramadhani Singano akishangilia kwa staili ya aina yake baada kuifungia Simba bao pekee.    Ramadhani Singano akiipangua ngome ya Rhino Rangers ya Tabora.  Kipa wa Rhino Rangers, Charles Mpinuki akidaka pelnati ya mshmambuliaji wa Simba, ramadhani Singano 'Mess' katika mchezo wa Ligi Kuu.  Mshabiki wa Simba wakifuatilia mtanange huo. Beki wa Rhino Rangers, Julius Masunga akitafuta mbinu za kumtoka Haruna Chanongo wa Simba. Moja ya Jeka heka zilizotokea katika lango la Rhino Rangers. Mwamuzi wa pembeni, Frank Komba kutoka Pwani alilalamikiwa na wachezaji wa Simba baada ya kukataa moja ya goli lililofungwa na timu hiyo. Beki wa timu ya Rhino Rangers, Julius Masunga akiusindikiza mpira wavu

KOLETA NA MAPENZI YA ‘KURUKA UKUTA’

Image
  BISHOSTI anayeuza nyago kwenye filamu za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ amefunguka kuwa analaani mastaa wanaokubali kutumiwa kimapenzi kinyume na maumbile akidai kuwa wapo ambao wamekuwa wakifanya kitendo hicho kwa tamaa ya pesa. Coletha Raymond ‘Koleta’. Akistorisha na Ijumaa, Koleta alisema anachukizwa na tabia hiyo kwani ni uchafu na kujidhalilisha kulikopitiliza. “Wanaume siku hizi ni matapeli sana, wengi wanataka kuwatumia wanawake kinyume na maumbile hivyo wasanii wa kike tuwe macho. Alishawahi kunitokea mwanaume mwenye heshima zake, alinipigia simu na kuniambia licha ya kuwa na mke kuna vitu anavikosa. “Nilipomuuliza ni vitu gani akaniambia anataka anitumie kinyume na maumbile na nichague zawadi isiyopungua milioni tano aniletee, nikakataa na kumwambia sifanyi biashara hiyo, ukweli mimi nakemea na ninawachukia sana wanaofanya mchezo huo,” alisema Koleta.

LULU AMUANIKA MCHUMBA WAKE LIVE HAYAWIHAYAWI

Image
hatimaye yamekua! Siku chache baada ya sexy lady wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ kutangaza sifa za mwanaume atakayemchumbia, amejitokeza mtu anayetaka kuchukua jumla na si siri tena, Amani limenyetishiwa. Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’. SIFA ZAKE Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa familia ya staa huyo anayekimbiza sokoni na filamu yake ya Foolish Age, mchumba huyo anaitwa Johnson lakini ni maarufu kwa jina la JR na pia ni Mkristo kama ilivyo kwa Lulu. JR ni mfanyabiashara kigogo wa jijini Dar mwenye ‘mahela’ ya kufa mtu. Pia mchumba huyo ni bosi wa kampuni kubwa ya uandaaji, usambazaji wa kazi za sanaa Bongo. ALISHAKWENDA KWA AKINA LULU “Kwa taarifa yenu, tayari JR anafahamika vizuri kwa akina Lulu kwani alishakwenda kujitambulisha na kuna maneno kwamba ndiye aliyempangia nyumba kubwa, Tegeta jijini Dar. “Unajua yule jamaa aliona fursa akaitumia. Baada ya Lulu kutoka mahabusu kwa matatizo ya kifo cha mwandani wake, Steven Kanumba ndipo JR

SIKILIZA PINI MPYA -"NJE YA BOX "- Joh Makini, Nikki wa II, Gnako (+playlist)

Image
Audio yake ilitoka February 14 2013 na ikamiliki headlines mpaka kuingia kwenye nyimbo 10 kubwa zilizokaa sana kwenye top20 ya Clouds FM, ‘nje ya box’ inaweza kuwa single pekee ya bongofleva ambayo video yake imefanywa miezi 10 baada ya audio kutoka. Joh Makini na Nikki wa II wamesema watapita hapa baada ya saa 7 kutazama maoni ya watu wa nguvu so usiache kutoa yako ya moyoni hapo chini mtu wangu Audio yake ilitoka February 14 2013 na ikamiliki headlines mpaka kuingia kwenye nyimbo 10 kubwa zilizokaa sana kwenye top20 ya Clouds FM, ‘nje ya box’ inaweza kuwa single pekee ya bongofleva ambayo video yake imefanywa miezi 10 baada ya audio kutoka. Joh Makini na Nikki wa II wamesema watapita hapa baada ya saa 7 kutazama maoni ya watu wa nguvu so usiache kutoa yako ya moyoni hapo chini mtu wangu - See more at: http://shiladeux.blogspot.com/2014/01/mabibi-na-mabwana-hii-ndio-video-mpya.html#sthash.sDBCZiS6.dpuf Audio yake ilitoka February 14 2013 na ikamil

WASTARA KAZIDIWA NA KUMUANIKA KIDUME MPYAAAA MTANDAONI ....

Image
Msanii Wastara amepost picha hiyo hapo juu aliyokumbatiwa na mwanaume. Mwenyewe ameandika kuwa ameshasahau kukumbatiwa. Kumbatio hilo lilionyesha dhahiri kuwa ameli-feel maana ameonyesha kurembua macho kiasi kwamba inaleta maswali jamaa huyo ni nani kwake?  Tunajaribu kufuatilia na tutakachokipata tutakileta kwenu wadau na wapenzi wa msani huyo,

PENNY AAMUA KUFUNGUKA KUHUSU KUVUNJIKA MAPENZI YAO NA DIAMOND..HUU NDIO UKWELI NA NINI KINAENDELEA SASA.

Image
  Mtangazaji na meneja wa vipindi wa kituo cha runinga cha DTV, Penniel Mwingila aka VJ Penny, amesema kuwa yeye na mpenzi wake, staa wa ‘My Number One’, Diamond Platnumz, wamepeana nafasi ili kila mmoja kutafakari anachotaka maishani. Kauli ya Penny kwenye mahojiano maalum na Bongo5 TV, inajibu maswali ya wengi kuhusiana na kama wawili hao wapo pamoja au wameachana baada ya Diamond na mpenzi wake wa zamani, Wema Sepetu kurudiana tena. Katika interview hiyo, Penny ameongea pia kuanzia historia yake, namna alivyoingia kwenye utangazaji, alivyokutana na Diamond, mapenzi yao yalivyokuwa, alivyojisikia baada ya kuona picha za Wema na Diamond, maisha yake ya sasa na mipango yake ya mwaka huu. Akizungumzia kuhusu alivyojisikia baada ya kuona picha za Diamond akiwa na Wema, Penny amesema yeye pia alishangaa kama watu wengine walivyoshangaa kuziona. “Mimi ni mtu ambaye utaniambia ‘fulani amefariki’ na sitakiamini mpaka nione kabisa huyu hapa amekufa,” amesema Penny. “Nilipo

MARIAM ISMAIL AFUNGUKA MADAI YA KUSAGANA NA IRENE UWOYA.

Image
  Mariam Ismail Mastaa wa filamu nchini Mariam Ismail na Irene Uwoya wanadaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi(usagaji) na kudaiwa kuishi pamoja kabisa. wiki kadhaa nyuma muigizaji mmoja chipukizi anayekuja juu kwa kasi aliutonya mtandao huu kwa kusema " Mariam Ismail na Uwoya wanasagana  tena wanaishi pamoja kabisa, fuatilieni mtajua". Baada ya habari hizo ilibidi Swahiliworldplanet  kuwatafuta mastaa hao, wa kwanza kutafutwa akiwa Irene Uwoya lakini namba yake ya simu kwa takribani wiki 2 ilikuwa haipatikani na hata jana alipotumiwa ujumbe kupitia namba yake nyingine hakujibu.  Baada ya hapo ilibidi kumtafuta Mariam Ismail ambaye wamecheza filamu nyingi na Irene Uwoya kama vile Sobbing Sound, Omega Confusion, The Return Of Omega na Apple, Hata hivyo Mariam anafanya vizuri katika filamu alionekana kuwa busy na kuchelewa kujibu ujumbe wa madai ya kusagana na Uwoya lakini jana star huyo aliyejipatia umaarufu kwa kuuvaa vizuri uhus

MBUNGE WA CHALINZE, SAID BWANAMDOGO (CCM) AFARIKI DUNIA

Image
Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo enzi za uhai wake. Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo (CCM), aliyekuwa amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU), katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa (MOI), amefariki leo.  ANDELEA KUWA NASI KWA HABARI ZAIDI. Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe

JOBS AT KCB BANK , JAN 2014

KCB is renowned for its diversity and growth in the Region is currently strengthening its support for group operations and business with the aim of maintaining Best Practice whilst also responding to the growing Business needs to support internal and external Customer Service delivery objectives and increase shareholder value. To this end the following challenging positions have arisen and candidates with the requisite competencies and qualifications described below are hereby encouraged to apply. Position Department Location Ref PROJECT MANAGER, MORTGAGE Mortgage Kenya MTG 022014 MORTGAGE BUSINESS MANAGER, NAKURU Mortgage Kenya MTG 012014 STRATEGIC BUYER Procurement Kenya PROC 01/2014 HEAD OF CORPORATE BANKING – KCB RWANDA Corporate Banking Rwanda KCBR 01/2013 CORPORATE RELATIONSHIP MANAGER Corporate Banking Kenya CORP 032014 HEAD OF LITIGATION SERVICES General Kenya CS01/2014 CORPORATE RELATIONSHIP MANAGER, INSTITUTIONAL BANKING Corporate Banking Kenya CORP 022014

South Sudan draft deal hangs on political pardons

Image
Thousands have been killed and half a million civilians have been forced to flee the fighting between troops loyal to President Salva Kiir and rebels allied to his sacked deputy Riek Machar.  East African mediators are urging South Sudan's warring parties to sign a ceasefire deal to end conflict and atrocities that have devastated the young nation, according to a draft accord A separate draft deal urges President Salva Kiir to pardon and release 11 key political detainees, one of the key sticking points of deadlocked talks in Ethiopia mediated by the East African regional bloc Intergovernmental Authority and Development (IGAD). Thousands have been killed and half a million civilians have been forced to flee the fighting between troops loyal to President Salva Kiir and rebels allied to his sacked deputy Riek Machar. The draft ceasefire accord, seen by Agence France-Presse and presented to peace delegates meeting in Addis Ababa, notes the "sca

JE WAJUA ROSE NDAUKA NA TUNDA MAN WALIKUWA WAPENZI SOMA ?

Image
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Tunda Man, amesema mpenzi wake wa kwanza katika maisha yake ni mwanadada muigizaji wa filamu nchini Rose Ndauka,ambaye waliachana tangu 2006.Akizungumza na XXL ya Clouds Fm leo Tunda amesema walikuwa wakikutana na mwanadada huyo katika studio moja huko kariakoo hali iliyowapelekea kuanza mahusiano yao yamapenzi. “Kuna studio moja kariakoo,wanadada walikuwa wanakuja kuchana na yeye anakuja studio anaangalia situation zinavyoenda, kwahiyo kuanzia hapo ndiyo akaanza kunijua nini, nikaenda kwao kila kitu kikawa  fresh kila kitu kikawa kinaenda poa ni 2006 kitu kama hicho, yani tumeachana kabla, hamna hata mmoja aliyekuwa star, sasa tumejikuta kila mmoja anafanya issue zake na mimi nafanya issue zangu, mpaka sasa hivi nikikutana nae, nasikia ameolewa peace tu ,kama na shida na yeye kwasababu na yeye sasa hivi anapiga mapigo ya movie na mimi na movie zangu kama vipi namdondosha halafu namlipa”, alisema Tund a

Jaji aagiza Rais Mstaafu wa Kenya, Daniel Toroitich arap Moi afike kizimbani

Image
  Jaji Isaac Lenaola aliamuru ushahidi katika kesi utatolewa na wale walioshtakiwa binafsi mbele yake. Hii inaamanisha kwamba Bw Moi atafika kortini kujitetea mwenyewe katika kesi hiyo aliyoshtakiwa na Bi Zipporah Seroney. Hii ndiyo itakuwa mara ya kwanza kwa Bw Moi kufika mahakamani tangu ang’atuke uongozini. Atahojiwa na wakili anayemwakilisha mjane huyo: “Hii mahakama inaamuru kwamba kesi ya Bi Seroney itasikizwa mnamo Machi 25 na wakili wake ameagizwa ataoe samanzi kwa washtakiwa kufika kortini,”akaamuru Jaji Lenaola. Bi Seroney na watoto wake watano wameishtaki Serikali na Bw Moi wakisema kama sio vitendo vya rais huyo mstaafu, mumewe aliyekuwa mbunge kati ya 1961 na 1975 hangekufa Desemba 1982. Kulingana na wakili Gitobu Imanyara, marehemu Seroney alitiwa kizuizini kati ya 1975 na 1978 wakati Bw Moi alipokuwa makamu wa rais na baadaye alipotwaa hatamu za uongozi kutoka kwa hayati Mzee Jomo Kenyatta. Mjane huyo anadai kwamba mwanasiasa huyo aliend

NAFASI MPYA ZA KAZI PRECISION AIR MWISHO TAREHE 27/1/2014

Image
POSITION: CHIEF LEGAL COUNSEL REPORTS TO: MANAGING DIRECTOR &CEO DUTY STATION: DAR ES SALAAM You will be reporting to Group of Managing Director & CEO- Precision Air Services Ltd Please take note of your responsibilities. ROLE PURPOSE STATEMENT: To identify, communicate and mitigate legal risks to the business to minimize undue financial costs. KEY ACCOUNTABILITIES / RESPONSIBILITIES  Draft, negotiate, vet contracts on behalf of the company to protect its interests.  Ensure disputes are resolved in a manner that safeguards the company’s position.  Organise and administer subsidiary board meetings to ensure they are efficient and effective.  Ensure company’s compliance with statutory and regulatory requirements to avoid legal penalties.  Brief and monitor external counsel to ensure legal representation is effective.  Prepare proposals and to lobby the Government on pending legislation to protect or improve the business environment for PW.  D