MEYA WA BUKOBA AJIUZULU RASMI LEO BAADA YA RIPOTI YA CAG KUMBANA,SOMA RIPOTI HIYO HAPA
Viongozi wote wako ukumbini,mbunge namuona mh mshashu,madiwani wote wapo.ukumbi umejaa,dc antangaza kwamba wananchi wake njee ni mkutano wa ndani,wanakubali,kwamba wasipige kelele,napata taarifa kwamba polisi wako nje wanalanda landa viongozi wanaingia,muda wowote watasoma,tusikilize Wabunge wanajitrambulisha na ras anatoa taarifa hii. RAS kagera mnambila, anawakaribisha naibu TAMISEMI Mwanry na mkaguzi mwenyewe utoh wako mbele. Ansema ni maelekezo ya waziri mkuu kufanya ukaguzi maalum na kupokea maelekezo yta serikali juu ya uakaguzi huo. Walioalikwa-kutoka manispaa ya bukoba na wabunge Mwanry anamwakilisha waziri mkuu, Utouh ameambatana na Bw Mero, Bi Mwadawa, Bw Nkinja, Bw Sabuni ambao wameshiriki kufanya ukaguzi bukoba mjini,hii ni taarifa inatolewa na mmoja wa maafisa,Bw rweyemamu ndiye anatoa taarifa hii. RC anamkaribisha Utoh kuongea Taarifa ya Utoh Waziri mkuu alituomba tufanye ukaguzi maalum, Mwaka 2013 tulifika bukoba na kufanya kika...