WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROF. SOSPETER MUHONGO AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA WINCH ENERGY TANZANIA

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Winch Energy Tanzania akiwasilisha mada mbele ya Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo (aliyekaa upande wa kulia) kwenye ukumbi ulioko kwenye ofisi  za Wizara ya Nishati na Madini. Lengo la kikao hicho lilikuwa ni kampuni ya Winch Energy Tanzania kutambulisha majukumu yake ikiwa ni pamoja na kusambaza umeme wa nishati ya jua.
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter  Muhongo akisisitiza jambo katika kikao hicho.

Comments

Popular posts from this blog