Huyu ni star wa Filamu ambaye kwa hakika Hakuna asiye mfahamu kabisa, katika Tasnia hii ya sanaa ya uigizaji wa Filamu Duniani. Inawezekana hufahafu kuwa ARNOLD ana watoto wa watano ambao ni Patrick Schwarzenegger, Katherine Schwarzenegger, Joseph Baena, Christopher Schwarzenegger, Christina Schwarzenegger na kipenzi chake MARIA. Anorld amezaliwa July 30, 1947 kwa sasa na Miaka 66. Arnold Amezaliwa Austria, pia hizi ni Baadhi ya kazi anazozifanya Muigizaji, Mwanasiasa, Mfanyabiashara, Mwekezaji, na wa zamani na Bodybuilder kitaaluma. Schwarzenegger aliwahi vipindi viwili kama Gavana wa 38 wa jimbo la California kuanzia mwaka 2003 hadi 2011. Movie alizowahi kuigiza ni Terminator: Genesis , The Expendables 3 , Sabotage , Captive , Unknown Soldier , Predator , The Last Stand na Nyingine Nyingi Kweli Miaka hairudi Nyuma! Ni ...