Posts

AFTER SCHOOL BASH ILIVYOTIKISA

Image
  Mashabiki kibao wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri jukwaani jioni ya leo.   Baadhi ya wasanii chipukizi kutoka anga ya muziki wa Bongofleva pia walipewa nafasi ya kuonesha umahiri wao wa kulishambulia jukwaa vilivyo.  Watangazaji wa Clouds FM,Adam Mchomvu na Dj Fetty wakijadiliana jambo nyuma ya jukwaa.  Mashabiki wakifurahi burudani iliyokuwa ikitolewa juu ya steji  DJ Mahiri kutoka Clouds FM akifanya makamuzi ya nguvu ndani ya Mbalamwezi Beach,wakati wa tamasha la After Skull Bash likiendelea,Tamasha hilo limewakutanisha wanafunzi wa shule mbalimbali jioni ya leo.  Msanii Nguli wa muziki wa kizazi kipya,Chege Chigunda a.k.a Mtoto wa Mama Said akitumbuiza mbele ya mashabiki kibao waliofika kwenye tamasha la After Skull Bash,lililofanyika kwenye ufukwe wa Mbalamwezi,Mikocheni jijini Dar.   Mmoja wa watangazaji mahiri wa Clouds FM,Hamis Mandi a.k.a B Dozen akitoa utaratibu mzima wa tamasha hilo utakavyofanyika.Tamas

Serikali yaipongeza UCA-Tanzania kuwanyanyua wasanii chipukizi

Image
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Utamaduni Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Leah Kihimbi kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo. Mkurugenzi Mtendaji wa UCA-Tz, Emmanuel Mushy akizungumza na vijana kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufanya uzinduzi. Baadhi ya wasanii chipukizi wa muziki na sanaa wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi pamoja na baadhi ya viongozi wa UCA-Tanzania. Mmoja wa wasanii wa kuchora akionesha kipaji chake cha kuchora michoro anuai kwa jamii kwenye tamasha hilo (P.T)   Picha mbalimbali juu ni baadhi ya wasanii chipukizi wakionesha vipaji vyao kwenye tamasha hilo. Baadhi ya wasanii chipukizi wakimsikiliza mgeni rasmi kabla ya kuonesha vipaji vyao.     Baadhi ya Wasanii chipukizi mbalimbali waliopata nafasi ya kuonesha vipaji vyao kweny

KITU KINACHOMKERA SANA LULU

Image
Muigizaji wa filamu nchini Elizabeth Michael aka Lulu, amesema kuwa hatamani tena kutumia simu ya mkononi kwakuwa anasumbuliwa mno na watu wasiokuwa na mambo ya msingi huku akitamani irudi enzi ya kutumiana barua. Akiongea na paparazi wetu jana,Lulu alisema kuwa kero hiyo humfanya atamani kurudi katika enzi za kale za kuwasilia kwa kutumiana barua kwa njia ya posta. “Nadhani sihitaji simu ya mkononi kwa sasa, mwenye shida na mimi atanitumia barua. Sijui, hata sijielewi nikasimame wapi, maana hata nikibadili nambari ya simu inasambaa kwa kasi sana,”alisema. Lulu alibainisha kuwa kwa siku hupigiwa simu zisizokuwa na idadi na zisizo na faida kwake, lakini akakiri kwamba idadi kubwa ya watu wanaompigia simu ni mashabiki wake. “Ninapigiwa simu nyingi kwa siku ambazo ni kero kwangu, nafurahi sana ninapopigiwa simu na shabiki wangu, lakini wapo wanaopiga simu kutaka mambo ya ajabu. Sawa ni wengi wao ni mashabiki wangu, lakini simu kwangu ni kero kubwa ingawa ni msaada mku

MAWAZIRI ‘MIZIGO’ WAZIDI KUKABWA KOO BUNGENI DODOMA

Image
Mbunge wa Jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde akizungumza na wananchi. Juzi jioni, mbunge huyo alichachamalia suala la mawaziri wanaoshindwa kazi bungeni Dodoma, akitaka wawajibishwe na hata ikibidi waondolewa kazini. PICHA | MAKTABA Dodoma. Baraza la mawaziri limeendelea kuwashiwa moto bungeni, baada ya Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (CCM), kulitaka Bunge  kuwang’oa mawaziri walioshindwa kuwajibika. Aliyasema hayo bungeni juzi jioni wakati akichangia ripoti za Kamati za Huduma za Jamii na Maendeleo ya Jamii, kwamba udhaifu wa mawaziri umekuwa ukionekana kwenye ripoti za kamati za bunge. Aliwashangaa wabunge waliokuwa wakisimama na kutamka hakuna waziri anayejiuzulu. “Kwa hiyo anaposimama mheshimiwa mbunge anasema hakuna waziri anayejiuzulu hapa, timu ya mpira inaposhindwa anajiuzulu kocha ambaye yeye hachezi,” alisema na kuongeza kuwa; “Ni kawaida kabisa, ustaarabu kama huo tujifundishe duniani,  siyo lazima tuwe tunasukwasukwa, mpaka wasima

HII NDIO PETE YA KWANZA YA SMARTY IJULIKANAYO KAMA "SMARTY RING" INAYOTUMIA TEKNOLOJIA YA BLUETOOTH KATIKA KUPOKEA SIMU

Image
Pamoja na kuwepo Smartwatches sokoni, sasa kuna pete inayoweza kuunganishwa na smartphone na kutoa taarifa (notification) pindi ujumbe, barua pepe, zinapoingia katika simu. ‘Smarty Ring’, ni pete inayounganishwa na smartphone kwa bluetooth, na kumuwezesha mtumiaji ku-control simu yake hata ikiwa mbali na yeye. Ina buttons zinazoweza kutumika kupokea simu, na kuplay muziki uliopo katika smartphone ya mtumiaji.  LED screen ya pete hiyo huwaka pindi mtu aliyeivaa anapopokea e-mail, ujumbe mfupi, facebook na twitter notification, au simu inapoingia, na pete hiyo inaweza pia kutumika kama remote control. Smarty Ring imebuniwa na engineer Ashok Kumar kutoka Chennai, India. Pete hiyo imetengenezwa na ‘Bluetooth 4.0 sensor’ inayoweza kuunganishwa na simu yoyote ya Android au iOS kupitia application maalum ya Smarty Ring. Panapokuwa hakuna notification yoyote kwenye simu, LED screen ya pete hiyo inaonesha muda.  Simu in

MWALIMU AFARIKI GHAFLA OFISINI

Image
Mwalimu Gloria Tarimo ‘Ticha Gloria’ (29) aliyekuwa akifundisha katika Shule ya Mbezi High School ya jijini Dar, amefariki dunia katika mazingira ya kutatanisha huku baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wakidai kifo chake ni cha kimiujiza. Ticha Gloria ambaye alikuwa akikaimu nafasi ya mwalimu mkuu wa shule hiyo, alifariki dunia Desemba 6, mwaka huu katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar huku wengi wakihisi kuna mkono wa mtu nyuma ya kifo hicho.                                                       Marehemu Glory A Tarimo enzi za uhai wake. USHIRIKINA WAHUSISHWA Akizungumza na gazeti hili, mmoja wa ndugu wa marehemu aliyeomba hifadhi ya jina lake kwa kuwa si msemaji wa familia alisema, kifo cha Ticha Gloria kinahusishwa na ushirikina kwa kuwa kabla ya mauti kumfika alikumbana na mambo mengi ya ajabu. “Ni kifo cha ajabu kwa kweli na kimemshangaza kila mmoja wetu. Nakumbuka ilikuwa Juni, mwaka huu ambapo alienda kazini na alipofika kwenye mlango wa ofisi yak

MWANAFUNZI AMWAGIWA MAFUTA YA MOTO BAADA YA KUFUMANIWA NA BOYFRIEND WA RAFIKI YAKE.

Image
Mwanafunzi wa chuo kimoja alimwagiwa mafuta ya moto na rafiki yake kipenzi baada ya kumkuta na boyfriend wake wakifanya mapenzi. Ilikuwa ni siku ya ijumaa Nasra alipokuwa akitoka darasani na kurejea hostel alipokea sms ikisema "Nenda kwa Rafiki yako kipenzi Naima kuna Bonge la Surprize, tafadhali usikose nenda sasa hivi" Nasra aliamua kuchukua pikipiki hadi kwa rafiki yake alipofika tu alikuta viatu vya boyfriend yake nje, akashtuka kwanza kwani sio kawaida ya jamaa huyo kwenda kwa Naima bila ya kuwa na Nasra, Nasra alijaribu sana kugonga lakini hakufunguliwa, na baadae aliamua kupiga simu zote mbili ya rafiki yake na ya boyfriend wake pia zote zikaita tu bila kupokelewa, Alikaa pale nje hadi majira ya saa sita usiku, ambapo alishajua kunakitu kinaendelea. Muda ulivyozidi kwenda Nasra alitoka na kwenda kuchukua marafiki zake wengine wawili, aliporudi alikuta bado hawajatoka ndani. Mpaka majira ya saa saba hivi usiku, Nasra akiwa amebeba mafuta ya

ANGALIA PICHA ZA KWANZA MAZISHI YA NELSON MANDELA LIVE

Image
 msafara wa mwili wa mandela ukiingia  Askofu akiongoza misa mda huu  Misa ikiendelea  Muongoza misa ya mazishi  kwaya ikiimba R ais Kikwete ni mmoja kati ya viongozi wanaoshiriki mazishi ya  marehemu Nelson Mandela yanayoendelea hivi sasa katika kijijini Qunu NA  ACBC S.AFRICA ENDELEA KUWA NASI KWA MATUKIO ZAIDI

JE,UNASHIDA YA FUNDI GARI? BONGE 1 LA FUNDI WA MAGARI

Image