Posts

ANGALIA PICHA KOCHA MPYA WA SIMBA "LOGARUSIC" AKISAINI MKATABA WA KUIFUNDISHA KLABU HIYO

Image
 LOGARUSIC akisaini mkataba mbele ya Mwenyekiti wa kamati ya usajili,Zacharia Hans Poppe.CHANZO SHAFFIH DAUDA

MSANII TIMBULO ANASWA AKIFANYA UCHAFU HADHARANI BILA AIBU...MTAZAME HAPA, NI LAANA TUPU...

Image
      Msanii chipukizi wa muziki wa kizazi kipya(bongo flava) Ally Timbulo (Timbulo) amefumwa akifanya MAPENZI na chipukizi wa filamu Isabela Francis,tukio hili lilitokea juzi usiku wa manane maeneo ya Ilala. tazama picha wakiwa kwenye mahaba mazito!!!!

KOCHA MPYA WA AZAM FC JOSEPH OMOG AKUTANA NA TIMU

Image
 Kocha mpya wa Azam FC akiwa na msaidizi wake Kali Ongalla.  . ....Akizungumza na wachezaji... Picha kwa hisani ya AZAM FC.

LOWASSA ACHANGISHA MILIONI 103/- MASASI

Image
Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya Mtandi Masasi, Oscar Mnung'u akisalimu waumini. Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akiwasalimia waumini wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mtandi Masasi wakati akiwasili  kuendesha harambee ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika katika Kanisa Kuu la dayosisi hiyo, juzi. Jumla ya Sh103 milioni zilichangishwa katika harambee hiyo. Na Mpigapicha Wetu Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza kabla ya kuongoza harambee ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Anglikana Dayosisi Mtandi Masasi, mkoani Mtwara jana. Jumla y Sh103 milioni zilichangishwa kwenye harambee hiyo. Kushoto ni Askofu wa Dayosisi ya Newala, Patrick Mwanachiko na Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya Masasi, Oscar Mnung'u. Na Mpigapicha Wetu Mwimbaji wa nyimbo za injili, Rose Mhando akiimba katika Kanisa Kuu la Aglikana Dayosisi ya Mtandi Masasi wakati wa harambee ya kuchangia maendeleo ya

TANZANIA YAZIDI KUPETA TUSKER PROJECT FAME

Image
  Mshiriki toka Tanzania anayetuwakilisha kwenye mashindano ya Tusker project fame amefanikiwa kusonga mbele kwa mara nyingine baada ya kuwa kikaangoni  yeye pamoja na washiriki wenzake wote ndani ya Tusker project fame.Waliotoka wiki hiii ni Phiona toka Rwanda na Kojjo kutoka Uganda.Hongera hisia Tanzania Gooooooooooooooooo Goooooooo

Taarifa ya kusimamishwa uongozi kwa Mwenyekiti wa CHADEMA wilayani Monduli

Image
TAARIFA KWA UMMA Kwa niaba ya baraza la uongozi la mkoa wa Arusha, napenda kuujulisha umma wote kwa ujumla kuwa mwenyekiti wa wilaya ya monduli Mchungaji Amani Silanga Mollel amekoma/amesimamishwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya monduli kuanzia tarehe 29 Novemba 2013 kufuatia tuhuma nzito za uvunjifu wa kanuni za maadili ya chama.  Hatua hii imefikiwa baada ya kuthibitika na yeyé mwenyewe kukiri mbele ya kikao cha kamati tendaji ya wilaya ya monduli kilichoketi tarehe 29 Novemba 2013 saa NNE asubuhi kuwa alitoa tamko batili akitumia wadhifa wa mwenyekiti wa wilaya bila ridhaa ya kamati tendaji na huku akidanganya kuwa ni tamko kwa niaba ya wilaya ya monduli.  Katika tamko lake ametoa tuhuma dhidi ya wajumbe wa kamati kuu na viongozi wakuu wa kitaifa kwa maamuzi halali ya kikao cha kamati kuu huku akijua kuwa anavunja kanuni za chama kwa mujibu wa katiba ya chama toleo la mwaka

Mwigizaji PAUL WALKER wa Marekani afariki dunia kwenye ajali mbaya ya gari. Ni yule wa filamu Fast and Furious

Image
Muigizaji Paul Walker , anayejulikana  sana duniani kwenye uigizaji kupitia filamu za Fast and Furious , amefariki katika ajali ya gari. Ajali hiyo imetokea katika eneo la Santa Clarita, k askazini ya Los Angeles wakati alipokuwa katika tukio la kijamii. Walker alikuwa ni abiria katika gari aina ya  Porsche kwamba waliopotea kudhibiti na kugonga ama taa ya posta au mti kabla ya kupasuka ndani ya moto . Kifo muigizaji baadaye kilithibitisha  kwenye ukurasa wake wa Facebook  . Taarifa kwenye  ukurasa huo  zilisema:  " kwa moyo  mnzito kwamba tunapenda kuthibitisha kwamba Paulo Walker amefariki leo katika kutisha ajali ya gari wakati akienda kuhudhuria tukio upendo kwa shirika lake kuwasaidia watu duniani kote. "Yeye alikuwa ni abiria katika gari ya rafiki yake, ambayo wote walipoteza maisha yao . "Asante kwa ajili ya kuweka familia yake na marafiki katika maombi yako katika wakati huu mgumu sana . RIP Paul Walker

KATIBU WA CHADEMA WILAYA YA CHUNYA AJIUNGA NA CCM

Image
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahmani Kinana akifafanua jambo wakati alipokuwa akiuliza swali alipokagua ujenzi wa barabara ya Mbeya Chunya yenye kilomita 36 inayogharimu kiasi cha shilingi bilioni 56 za kitanzania , Barabara hiyo inajengwa na kampuni ya kichina ya China Communication Construction Company, Kinana yuko katika ziara ya kikzani ya mikoa mitatu Ruvuma, Mbeya na Njombe akiongozana na Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi Ndugu Nape Nnauye na Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kiamataifa leo amemaliza ziara katika jimbo la Lupa na kesho anaendelea na ziara katika jombo la Songwe wilayani China, kulia ni Mh. Abbas Kandoro Mkuu wa mkoa wa Mbeya na katikati ni Dr. Asha Rose Migiro.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-LUPA-CHUNYA) Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahmani Kinana akipiga makofi wakati Braison Mwasimba aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha CHADEMA

ONA MATUKIO ZAIDI 200 YA KILICHOJILI KATIKA FAINALI ZA EBSS 2013 ... ILIKUWA NI BALAA

Image
    Mshindi wa EBBS 2013 Emmanuel Msuya.                 Mwanamuziki Snura Mushi akiwajibika jukwaani kwa kucheza wimbo wake wa 'Nimevurugwa'.… Mwanamuziki Snura Mushi akiwajibika jukwaani kwa kucheza wimbo wake wa 'Nimevurugwa'. Mwanamuziki Walter Chilambo ambaye ndiye mshindi wa shindano la EBSS 2012 akitumbuiza stejini

MTU MMOJA AKUTWA NA BUNDUKI PAMOJA NA RISASI 13 JIJINI ARUSHA

Image
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Liberatus Sabas akiwaonyesha waandishi wa habari (Hawapo pichani) bunduki aina ya shortgun iliyokutwa nyumbani kwa mtu anayejulikana kwa jina na Jumanne Abdallah Maarufu kwa jina la Babu G (25) Unga Ltd jijini hapa ambaye anatuhumiwa kuhusika katika matukio mbalimbali ya ujambazi hapa nchini. (Picha na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi Arusha) Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Liberatus Sabas akionyesha risasi zilizokutwa nyumbani kwa mtuhumiwa wa ujambazi Jumanne Abdallah maarufu kwa jina la Babu G maeneo ya Unga Ltd jijini hapa. (Picha na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi Arusha) Na Rashid Nchimbiwa Jeshi la PolisiArusha Mtu mmoja anayetuhumiwa kwa ujambazi ajulikanaye kwa jina la Jumanne Abdallah Maarufu kwa jina la Babu G (25) Mkazi wa Unga Limited jijini hapa amekamatwa na Jeshi la Polisi akiwa na bunduki aina ya short gun pamoja n