LOWASSA ACHANGISHA MILIONI 103/- MASASI


Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya Mtandi Masasi, Oscar Mnung'u akisalimu waumini.

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akiwasalimia waumini wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mtandi Masasi wakati akiwasili  kuendesha harambee ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika katika Kanisa Kuu la dayosisi hiyo, juzi. Jumla ya Sh103 milioni zilichangishwa katika harambee hiyo. Na Mpigapicha Wetu
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza kabla ya kuongoza harambee ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Anglikana Dayosisi Mtandi Masasi, mkoani Mtwara jana. Jumla y Sh103 milioni zilichangishwa kwenye harambee hiyo. Kushoto ni Askofu wa Dayosisi ya Newala, Patrick Mwanachiko na Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya Masasi, Oscar Mnung'u. Na Mpigapicha Wetu
Mwimbaji wa nyimbo za injili, Rose Mhando akiimba katika Kanisa Kuu la Aglikana Dayosisi ya Mtandi Masasi wakati wa harambee ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika kanisani hapo juzi. NaMpigapicha Wetu
Waumini

Comments

Popular posts from this blog