PICHA ZA WASANII WA NDANI(BONGO) WALIVYOKAMUA SAMBAMBA NA P-SQUARE "WEUSI WAKIFANYA YAO STEJINI"
Joh Makini akilitawala jukwaa. Nikki wa Pili (kushoto) na G Nako wakifanya yao… Joh Makini akilitawala jukwaa. Nikki wa Pili (kushoto) na G Nako wakifanya yao stejini. Kundi la Weusi likiongozwa na Joh Makini likishambulia jukwaa la Leaders Club kabla P-Square hawajapanda usiku huu. PROFESA JAY AWADATISHA MASHABIKI NDANI YA LEADERS CLUB LADY JAYDEE AKIFANYA YAKE STEJINI Mwanamuziki Judith Wambura 'Lady Jaydee' au 'Anaconda' akiwapagawisha mashabiki wake waliohudhuria katika Viwanja vya Leader s Club usiku huu katika shoo wa wakali P-Square.… MA MC KAZINI.. . MC Dullah akiwa kazini. Ma MC wakiwajibikia stejini. BEN POL AKILISHAMBULIA JUKWAA KATIKA YA SHOO YA P-SQUARE Mwanamuziki Ben Pol akiwasha moto katika steji ndani ya Viwanja vya Leaders usiku huu katika shoo ya P-Square Live in Dar.… LIVE KUTOKA LEADERS CLUB KATIKA SHOO YA P-SQARE ...