Posts

ANGALIA PICHA ZA AJALI MBAYA KATIKA MSAFARA WA RAIS KIKWETE HUKO GEITA NA ILIYOJERUHI WATU 5

Image
Msafara wa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dk JakayaKikwete mkoani Geita, leo umeingia dosari baada ya gari moja lilokuwa kwenye msafara huo kupinduka na kujeruhi watu watno. Gari la Bohari ya Dawa (MSD) lililopata ajali likiwa na meneja wa MSD Kanda pamoja na waandishi wa habari.Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoani Geita Lenard Paul ajali hiyo imetokea leo saa 3 na dakika 45  asubuhi katika eneo la Nyankumbu kilomita 3 kutoka makao makuu ya mkoa wa geita. Kamanda Paulo amesema gari hilo namba DFP.9730 aina ya Toyota Landcruzer lililokuwa likiendeshwa Yungi Mkwati, mali ya Bohari kuu ya Madawa (MSD), lilipinduka baada ya kuteleza kwenye lami iliyomwagwa barabarani hii leo. Amewataja Waliojeruhiwa katika ajali hiyo kuwa ni mwandishi Peter Makunga wa Radio Kahama Fm na Radio Free Afrika, Peter Fabian wa Gazeti la Rai, Frederick Katulanda Moderator wa Tovuti ya mabadiliko.com, meneja wa MSD kanda ya Ziwa Byekwaso Tabura pamoja na dreva wa gari hilo Yungi

I just wanted a quick drink... not a bite! Young elephant gets a nasty surprise when a crocodile grabs his trunk at a water hole

Image
The young elephant doesn't appear to see the waiting crocodile as he ambles over to the peaceful watering hole in the South Luangwa National park in Zambia This young elephant got more than he bargained for when he ambled up to a water hole to slake his thirst. Just moments after dipping his trunk in the water, it was grabbed by a hungry crocodile. But luckily for the elephant, the croc had bitten off considerably more than he could chew – and the astonished bull elephant was able to whip his trunk out of the reptile’s jaws with no more than a few cuts to remember the encounter by. The remarkable scene was captured by amateur wildlife photographer Ian Salisbury, 62, at the South Luangwa National park in Zambia. Mr Salisbury, general manager of a safari lodge, said: ‘One of our guests had seen a crocodile try a similar attack on another elephant earlier in the day so, camera in hand, I went to see if there might be a repeat performance. ‘The ac

U.S. remains determined Iran will not acquire nuclear weapon

Image
U.S. Secretary of State John Kerry at the end of the Iranian nuclear talks in Geneva.  U.S. Secretary of State John Kerry said Sunday that the United States is determined to ensure that Iran does not acquire a nuclear weapon following talks in Geneva that failed to reach an agreement on Tehran’s nuclear program. “We came to Geneva determined to make certain that Iran does not acquire a nuclear weapon. That remains our goal,” Kerry was quoted as saying by Agence France-Presse, after three days of intensive negotiations between world powers and Iran. While no deal was reached, Kerry insisted negotiators had “made significant progress,” in Geneva. “There's no question in my mind that we are closer now (to a deal) as we leave Geneva,” he said, according to AFP. Kerry’s comment came after EU diplomatic chief Catherine Ashton said the talks would reconvene on Nov. 20. Iranian

ZIARA YA RAIS KIKWETE WILAYANI MBOGWE, BARABARA YAPANDISHWA DARAJA

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi rasmi wa ujenzi wa barabara ya Bwanga – Uyovu yenye urefu wakilometa 45 inayojengwa kwa kiwango cha lami mkoani Geita. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (aliyeshika mkasi) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Bwanga – Uyovu yenye urefu wa kilometa 45 inayojengwa kwa kiwango cha lami mkoani Geita. Kulia kwa Rais ni Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na kushoto kwa Rais ni Mbunge wa Bukombe Mhe. Kulikoyela Kahigi kutoka CHADEMA. Wengine ni baadhi ya Mawaziri na Viongozi wa Kitaifa na kutoka mkoa wa Geita waliokuwepo katika sherehe hizo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Kiongozi wa Kikundi cha Mchelemchele kilichotumbuiza wakati wa sherehe za uzinduzi wa

Ziara ya Rais Geita: Afisa Usalama feki anaswa akimsogelea Kikwete

Image
 Katika hali ambayo inazidisha mashaka juu ya Usalama wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Mtu mmoja ambaye hajatambulika nia yake, amefanikiwa kujipenyeza katika msafara wa Rais na kujifanya miongoni mwa walinzi wa msafara.  Mtu huyo ambaye baada ya kunaswa amekutwa na vitambulisho bandia, alifanikiwa kujipenyeza katika mkutano wa kwanza wa ziara ya Rais wilayani Bukombe mkoani Geita, ambapo kulikuwa na sherehe za uzinduzi wa barabara ya Lami ya Bwanga hadi Uyovu Lunzewe yenye urefu wa km 45 ambayo ujenzi wake ulizinduliwa na Rais Jakaya Kikwete siku hiyo Novemba 9 mwaka huu. Akiwa kama afisa usalama alikuwa akizuia baadhi ya watu kufika maeneo maalum yaliyoandaliwa mahususi kwa ulinzi, lakini pia alikuwa akipitapita kukagua baadhi wa watu wakiwamo na waandishi wa habari huku akiwapanga namna ya kukaa vyema kabla msafara wa Rais kuwasili eneo la tukio. Katika

DCI ROBERT MANUMBA AMESTAAFU KWA MUJIBU WA SHERIA

Image
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI DAR ES SALAAM NOVEMBER 11, 2013.     Jeshi la Polisi nchini linapenda kuutaarifu umma kwamba aliyekuwa    Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya jinai (DCI) Robert Manumba amefikia umri wa kustaafu kisheria    ambao ni miaka sitini (60) katika utendani wake wa kazi. Aidha, katika utumishi wake ndani ya Jeshi la Polisi amefanya kazi katika nyadhifa mbalimbali zikiwemo Chumba cha kupokea mashtaka kuanzia mwaka (1976 – 1977), mwendesha mashtaka wilaya ya Kibondo na Kasulu mkoani Kigoma, 1977 – 1984), Mkufunzi katika chuo cha polisi Dar es salaam, (1984 – 1987), Mkuu wa Upelelezi wilaya ya Magomeni na Kinondoni na Naibu Mkuu wa upelelezi wa mkoa wa Dar es salaam     (1987 – 1993), Pia, amewahi kuwa Mkuu wa upelelezi wa mkoa wa Arusha, ( 1993 – 1995),    Mkufunzi mkuu wa Chuo Cha Polisi Moshi ( 1995 – 1996), Mkuu wa kitengo cha Fraud makao makuu ya upelelezi, (1996 – 1997), Mkuu wa kitengo cha usalama wa nchi, intelijensi

COLETHA wa bongo movie apiga picha ya uchi na kuitupia mtandaoni.

Image
Picha  za  uchi  zimeendelea  kuwa  fasheni  kwa  wasanii wa  kike  Tanzania  ambao  wengi  wao  wanaamini  kuwa  bila  kujianika  uchi  hawawezi  kuuza  filamu  zao... Huyu  ni  Coletha Raymond  'Koleta' , mrembo  niliyedhani  anajiheshimu  kumbe  naye  chenga  tupu.... Hii  ni  picha  ya  kiuno  chake  kilichopambwa  shanga  za  kila  rangi  ambayo  imevujishwa  na  yeye  mwenyewe.....Nadhani  hiki  kiuno  kipo  sokoni  kinauzwa.....   Una  maoni  gani?  Tupia  maoni  yako  hapo  chini.

BREAKING NEWSSSS ... MSANII MAARUFU WA TAARABU AFARIKI DUNIA

Image
  Mwanamuziki wa muziki wa taarab Nyawana Isale au Maarufu Nyawana Fundikira aka Mamaa Matashtiti  amefariki leo hii mchana jijini Dar es Salaam alipokuwa akikimbizwa hospitalini baada kuzidiwa. Na pia inasemekana amefariki kwa Maralia Phars blogspot TUNATOA POLE KWA NDUGU, JAMAA , MARAFIKI  na WADAU WOTE WA TAARABU R.I.P NYAWANA FUNDIKIRA SOURCE: TIMES FM

DIAMOND AENDA NIGERIA ... HIKI NDICHO KILICHOMPELEKA

Image
Diamond Platinumz tayari ameshafika nchini Nigeria kwa ajili ya kazi ya kimuziki pamoja na wasanii nchini humo ambapo baada ya kufanya remix ya My Number One na Davido, kazi inaendelea na sasa amewafata hukohuko kwao Nigeria. Kila kitu kuhusu kilichompeleka huko Nigeria Diamond mwenyewe anaelezea hapa Diamond anaelezea kwamba baada ya kufanya ngoma na Davido, pia ngoma nyingine amefanya na Iyanya japokuwa watu wengi hawafahamu kuhusu hiyo collabo. Lengo lake kubwa lilikuwa si kufanya collabo tu bali anasema alitaka kujenga ukaribu na wasanii wa Nigeria ndiyo maana ameamua kwenda kufanya video hukohuko Nigeria. Japokuwa hajasema ni production gani atatumia, hivi sasa Diamond ameshafika nchini Nigeria na atarudi baada ya kufanya video mbili ambapo moja akiwa na Davido na nyingine pamoja na Iyanya.

JACKLINE WOLPER ABADILI DINI TENA .... DINI YAKE MPYA NA KISA CHA KUFANYA HIVYO HII HAPA

Image
  Hatimaye mwanadada Jacqueline Wolper ameamua kuweka wazi kilichotokea mpaka kuamua kubadili Dini yake ya Uislamu na kurudi kwenye ukristo tena. Kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii mwanadada huyu wa bongo movies ametoa ujumbe ufuatao kwa mashabiki wake. “…mambo mashabiki zangu.sikua na njia nyingne yakulikwepa hili nanaamini kua kwa wale mashabk zangu waislam amtomaind maana akuna mtu wakumsikiliza chin ya hanga zaidi yawazazi so imenipasa kurudi kanisani kwakauli yawazazi wangu.naamin kama aujaolewa ata uwe na miaka mingap bado unatakiwa kua chin ya imaya ya wazazi ata ukifa ujue unazikwaje na mimi ni binadam sijui saa wala dakika.muhm nikuwajuza nakuwaelewesha mashabik zangu stak maswal nawapenda wote…” Hapo awali iliripotiwa kuwa mwanadada huyu ameamua kuwa mkristo tena baada ya penzi lake lililosababisha abadili dini na kuwa muislamu na jamaa aitwaye 'Dallas' kuvunjika hivi karibuni. Swali ni je, atabadili dini tena akitokea mwingine wa d

MSANII WA BONGO FLEVA AFUMANIWA MAKABURINI AKIWA NA CHANGU

Image
  MREMBO aliyetajwa kwa jina moja la Ema aliyedai kuwa ni mchumba wa jamaa aliyemtaja kwa jina la Amri au Mdudu amefumaniwa laivu akisaliti penzi na mwanaume mwingine. Tukio hilo la aina yake lilijiri kwenye Makaburi ya Buguruni, Dar, mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya kuwekewa mtego. TAARIFA KWA OFM Wakati makachero wa Oparesheni Fichua Maovu wakiwa kwenye ‘patroo’ walipokea taarifa kutoka kwa chanzo chake ambacho kiliomba wafike katika makaburi hayo ambapo kulikuwa na fumanizi. OFM: Fumanizi la aina gani? Isije ikawa ni wanandoa tukaingia chaka. Chanzo: Hawa bado ni wachumba tu. Jamaa alikuwa anamfuatilia mchumba’ke amemnasa na jamaa kwenye gari wakifanya mapenzi sasa kuna timbwili zito. OFM: Una uhakika na unachokisema? Chanzo: Kama hamtaki acheni (akakata simu). OFM KAZINI Kwa kuwa OFM haipuuzii habari, ilimteua ‘kamanda’ wake mmoja ambaye aliwasha bodaboda na kuwahi eneo

UJUMBE WA SIKU"TANZANIA BILA UKIMWI ....

Image

Lowassa aongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa shule ya awali ya kanisa la KKKT, Kijitonyama....Milioni 600 zapatikana

Image
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akitoa hotuba yake katika Kanisa la KKKT Usharika wa Kijitonyama,muda mfupi kabla ya kuanza kwa Harambee Maalum ya Kuchangisha fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Shule ya Awali katika kanisa hiyo.Ambapo zaidi ya Sh. Mil. 600 zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika Kanisani hapo. Naibu Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Makongoro Mahanga akimuunga Mkono Mgeni Rasmi,Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa katika Harambee ya Uchangishaji Fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Shule ya Awali ya Kanisa la KKKT Usharika wa Kijitonyama,iliyofanyika leo Novemba 10,2013,jijini Dar es Salaam.zaidi ya Sh. Mil. 600 zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika Kanisani hapo. Mbunge wa Jimbo la Kinondoni,Mh. Idd Azzan akimuunga Mkono Mgeni Rasmi,Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa katika Harambee ya Uchangishaji Fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Sh

KIMBUNGA 'HAIYAN' CHADAIWA KUUWA ZAIDI YA WATU 10,000 NCHINI PHILIPPINES, VIETNAM NA CHINA WAANZA KUJIPANGA

Image
Kijana akiangalia maafa yaliyosababishwa na kimbunga jijini  Tacloban nchini Philippines . Nyumba pamoja na boti vikiwa vimeharibiwa… Kijana akiangalia maafa yaliyosababishwa na kimbunga jijini  Tacloban nchini Philippines . Nyumba pamoja na boti vikiwa vimeharibiwa eneo la Iloilo nchini Philippines. Jiji la Tacloban nchini Philippines baada ya kukumbwa na kimbunga 'Haiyan' . Mama huyu akiwa katika jengo lililobomolewa na kimbunga. Mtoto akijaribu kumpatia msaada mwenzake baada ya kimbunga hicho jijini Tacloban . Gari likiwa limepinduka baada ya kimbunga jijini Tacloban . Famili hii ikijaribu kujihifadhi wakati wa kimbunga eneo la vijijini nchini Philippines . Wananchi wa  Philippines wakisubiri misaada katika jiji la Sorsogon. Wanajeshi nchini Vietnam wakiwashusha wananchi kutoka kwenye lori wakati wakiwahamishia katika maeneo salama kujikimga na kimbunga. Wakazi wa Phu Yen, Vietnam,