Posts

Haya ndo majibu ya Zitto Kabwe baada ya CHADEMA kutoa waraka mrefu uliojaa tuhuma nzito kwa mbunge huyu

Image
NILIPOKUWA katika ziara ya bara la Ulaya kati ya Oktoba 21 mpaka Novemba 2 mwaka huu (2013), nilipokea kwa njia ya barua pepe ripoti inayoitwa “Taarifa ya Siri ya Chadema” ambayo pia ilikuwa imesambazwa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.   “Taarifa ya Chadema inasema kwamba chama hicho (chama changu) kilikuwa kimechunguza mwenendo wangu tangu mwaka 2008 hadi 2010 na kubaini kuwa mimi napokea fedha kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuivuruga Chadema. Ripoti hiyo ilinihusisha pia na mwananchi raia wa Ujerumani, Andrea Cordes ambaye, kwa mujibu wa ripoti hiyo, alinisaidia kupokea na kuhifadhi kiasi cha dola 250,000 za Marekani kupitia kwenye akaunti yake binafsi. Taarifa hii ya kutunga na iliyojaa uongo wa kiwango cha kutisha, imenifadhaisha, kunisikitisha na kunikasirisha.   Taarifa hii iliibuliwa katika kipindi ambacho nilikuwa safarini kutetea haki za Watanzania na Waafrika ambao utajiri wao wa rasilimali unafaidiwa na watu wachache waliohifadhi mali katika

ALIYEVUNJA NDOA YA BOB JUNIOR AANIKA MAMBO HADHARA KUHUSU YEYE NA BOB JUNIOR

Image
Baada ya Blogs na Magazeti Kumwandika sana Ashley Toto Mwanadada Kutoka Kenya Kuhusika na Kuvunjika kwa ndoa ya Bob Junior Amejitokeza na Kuandika haya kwenye Wall yake ya Facebook "****JAMANI NIMECHOKA NA SKEDOLS ZA UONGO ILA NAAMINI HII NI MITIHANI NA INSHAALLAH YATAISHA***I HAVE NOTHING TO DO WITH HIM...." Tuliamua kumtafuta na kuongea nae na kusema kwa masikitiko kuwa Hana uhusiano wa kimapenzi na Bob Junior Bali wao ni marafiki tu wa Muda mrefu..Pia akasema huwa anamtafutia Show Sehemu mbali mbali ikiwemo Ujerumani anapoishi ..... So anasema amechoka kuandikwa kuhusu Bob Junior.

Mwanaume anaswa na maiti ya mtoto wa miaka miwili ikiwa ndani ya begi lake

Image
Katika hali isiyokuwa ya kawaida , kijana mmoja nchini Nigeria Amenaswa Juzi akiwa na Maiti ya Mtoto Wa Miaka Miwili Ikiwa ndani ya Beg La Kusafiria..

PENNY WA DIAMOND AANZA KUDATA, AINGIA KWENYE PART YA SAUDA MWILIMA BILA VIATU, TAZAMA PICHA HAPA:

Image

BINTI KATIKA WAKATI MGUMU BAADA YA BOSS WAKE KUTAKA KUULAMBA "MZIGO" KWA TSH. MILIONI 5 KWA SIKU MOJA NTU ...

Image
Mimi nina rafiki yangu ambaye tumekuwa marafiki baada ya kuajiriwa siku moja hapa jijini! Kwa kweli, bila hata kumaliza mwenzi mmoja the big boss akaanza kutupa mawe kwa rafiki yangu huyu ila hakuniambia kama boss anataka kungonoka! Ila binti akamtolea nje!! Alipo ona yamashindikana kule si ndoo akaamua ahamie kwangu kujaribu bahati yake, mimi nisivyo na siri nikaona nimshirikishe huyu rafiki yangu si ndo akafunguka nami nikajua kuwa boss ana mchezo mchafu!! Nikamwambia hakuna dinner atakayo nialika nikaenda ila mwenzangu vi dinner alikuwa havikosi! Ila anavyo sema rafiki yangu hajawahi ku do naye!!!!! Sasa wiki hii, boss kanivulia uvivu macho kodo kwangu kila wakati, mara ohooo leo umependeza sana ohoo you luk scorching gorgeous hajui mwenzie najua kuwa tabia yake ni hafu! Sasa si akanipigia simu after work twende kwa coffe enening coloessum, kwa kuwa ilikuwa mapema nikasema kwa nini niwahi home hivi! After those thoughts na maamuzi ya kwenda binti nikamwambia poa not a

MAITI YAKUTWA NA KETE 65 ZA DAW ZA KULEVYA

Image
[DIWANI ATHUMANI- ACP]  KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA  WA KWANZA KUSHOTO AKIANGALIA MWILI WA MAREHEMU  KASSIM SAID KATIKA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI RUFAA MBEYA   PIPI 65  ZA  DAWA ZIDHANIWAZO KUWA ZA KULEVYA  ZILIZOKUTWA  TUMBONI KWA MAREHEMU NA  MOJA KATI YA  PIPI HIZO IKIWA IMEPASUKA . §    MNAMO TAREHE  07.11.2013  MAJIRA YA SAA  11: 00HRS  HUKO KATIKA  HOSPITALI YA WILAYA YA KYELA  MKOA WA MBEYA.  KASSIM  SAIDI   MBOYA , MIAKA 36, MKAZI WA DSM ALIFARIKI DUNIA WAKATI AKIPATIWA MATIBABU HOSPITALINI HAPO. MAREHEMU ALIFAHAMIKA JINA KWA MUJIBU WA HATI YAKE YA KUSAFIRIA  NAMBA – AB 051010  KUTOKA  DSM  KUELEKEA LILONGWE  NCHINI  MALAWI. §    MAREHEMU ALIKUWA ANASAFIRI  AKIWA KATIKA BASI LA  TAQWA  LENYE NAMBA ZA USAJIRI T.319 BLZ  AINA YA  NISSAN KWA MUJIBU WA TIKETI YAKE ILIYOKUWA NA JINA LA  KASSIM MUECK MICHAEL,   AKIWA NA BEGI DOGO LENYE SURUALI MOJA AINA YA JEANS,T-SHIRT MOJA NYEUSI,RABA JOZI MOJA RANGI