Posts

Picha za Nusu Uchi za msanii wa vituko Show (Lissa Mlaki ) zavuja.....

Image
Msanii wa kike wa kundi la vituko show ajulikanaye kwa jina la Lissa Mlaki amejikuta katika aibu ya mwaka baada ya picha alizopiga akiwa utupu kuvuja mtandaoni... Picha hizo zinamwonesha mwanadada huyu akiwa na kichupi kitandani huku akiwa akiwa ametunuka kama CHURA anayejiandaa kuruka.. Pembeni yake kitandani, unaonekana mguu mmoja wa kiume ambao bila shaka ni wa jamaa yake aliyekuwa akimpiga hizo picha.... Picha zimekwa katika forum , bofya hapo chini kuziona. <<BOFYA HAPA KUONA PICHA >>

Tukio zima la MAUAJI ya kutisha jijini Mwanza....Kijana amchoma kisu mwenzake, wananchi nao wamvaa na kumponda mawe mpaka akafa

Image
Watu wawili wameuawa katika tukio la utata lililotokea jana asubuhi majira ya saa 3 na dakika kadhaa, katika eneo la barabara ya msikiti wa Ijumaa jijini Mwanza. Chanzo cha mauaji hayo kinadaiwa kusababishwa na kijana mmoja maarufu kwa jina la Mkandarasi kumchoma kisu kijana mwenzake ambaye alikuwa mgeni akifanya kazi za usaidizi kwa mamantilie wanaopika chakula katika moja ya viunga vya ndani eneo la vichochoro vya mtaa wa Msikiti wa Ijumaa kufuatia majibizano ambayo yalisababisha kijana Maarufu kwa jina la 'Mkandarasi' amchome mwenzake kisu cha shingoni na sehemu nyingine za mwili. Kijana huyo alipoona amezidiwa alitafuta upenyo na kukimbia huku damu zikimchirizika, hata hivyo hakufika mbali kwani alizidiwa na hatua chache baadaye alianguka chini nakuaga dunia. Wananchi wenye hasira walimzingira muuaji ambaye naye alikuwa akijihami kwa kisu alichokuwa nacho mkononi na ndipo walipofanikiwa kumbwaga chini na kumshambulia kwa mawe hadi umauti. 

Director wa Bongo Movie afumaniwa na Mke wa mtu gesti...Ndani wakutwa na Kondom tano zilizotumika

Image
Vitendo vya madirector wengi wa filamu kupenda kuwarubuni wasanii wachanga kuwa kama watatoa uroda basi watapewa nafasi ya kucheza filamu na kuwa mastaa wakubwa imemtokea puania msanii na director maarufu wa bongo movie Edward Nicas Temu maarufu kwa jina la Nicas baada ya kufumaniwa na mke wa mtu ambae ni msanii wa kundi lake. Jina la Nicas ni jina maarufa sana hasa kwa wasanii kufutia huyu mshikaji kuwa kwenye sanaa kitambo akiwa kama msanii na director .Kwa kipindi kirefu amekuwa akifanya kazi za watu lakini siku za hivi karibuni alianzisha kundi lake huko maeneo ya Kinondoni Moscow na kukusanya makumi ya wasichana kwa ajili ya kucheza filamu zake... Kutokana na wakidada wengi hasa Underground kupenda kuigiza, jamaa huyo alijikusanyia warembo wa kila aina na alifanikiwa kuwachezesha filamu zake tatu Bad Father,The Reason,House Girl N Boss... Habari zaidi zinaripoti kuwa baada ya kumaliza kuwachezesha filamu hizo msanii huyo alianza kumuweka karibu mmoja wa wa

MAZISHI YA BABA MZAZI WA MSANII WA KIZAZI KIPYA 20 PERCENT YAFANYIKA KATIKA KIJIJI CHA KIMANZICHANA ... NI AIBU TUPU

Image
Abas Kinzasa kwa jina la usanii anaitwa 20 Percent akiwa kwenye majonzi baada ya kufiwa na Baba yake mzazi Mzee Kinzasa aliyefariki juzi siku ya Jumapili na kuzikwa siku ya Jumatatu kwenye kijiji cha Kimanzichana kilichopo Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani. Hapa ndipo alikozikwa Mzee Kinzasa baba mzazi wa 20 Percent aliyefariki siku ya jumapili na kuzikwa siku ya jumatatu kwenye kijiji cha Kimanzichana kilichopo Wilaya ya Mkuranga Msanii 20 Percent na ndugu zake wakiweka udongo kwenye kaburi la marehemu baba yake mzazi mzee Kinzasa Abas Kinzasa kwa jina usanii anaitwa 20 percent akieleza jambo kandokando ya kaburi la Baba yake mzazi Mzee Kinzasa aliyefariki siku ya jumapili na kuzikwa siku ya jumatatu kwenye kijiji cha Kimanzichana kilichopo Wilaya ya Mkuranga Marehemu mzee Kinzasa akiombewa dua baada ya kumpumzisha kwenye nyumba yake ya milele Hii ndio nyumba aliyoicha marehemu Mzee Kinzasa iliyoko kwenye kijiji cha

AGNESS MASOGANGE ATUA BONGO SHUHUDIA MWENYEWE HAPA ALIVYOPOKELEWA

Image
Kupitia Instagram jana Agnes alipost picha (hapo juu) akiwa uwanja wa ndege na kuandika “am cmng homeeeeeeeee”. Ikiwa ni wiki chache toka kesi ya video vixen Agnes Gerald a.k.a Masogange ya kutuhumiwa kusafirisha dawa za kulevya kuisha kwa kulipa faini nchini Afrika Kusini na kuwa mtu huru, hatimaye jana Jumanne amerejea nyumbani Tanzania. Mwishoni mwa mwezi uliopita (September) mrembo huyo aliachiwa huru pamoja na mdogo wake Melissa Edward ambaye mahakama ya Kempton ya jijini Johannesburg, Afrika Kusini ilimuachia huru baada ya kukosa ushahidi wa kumtia hatiani.

CHADEMA, CUF na NCCR Mageuzi wakubaliana kusitisha MAANDAMANO yao leo tarehe 10

Image
Viongozi Wakuu wa vyama vya siasa nchini Tanzania, NCCR-Mageuzi, CHADEMA na CUF wametangaza kusitisha mpango wa maandamano uliokuwa umepangwa kufanyika siku ya Alhamisi, Oktoba 10, 2013 katika maeneo ya mikoa ya Unguja, Dar es Salaam, Mbeya, Kigoma, Dodoma, Tanga, Mwanza na Arusha kwa lengo la kudai upatikanaji wa muafaka wa mchakato wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba yatakayowezesha kuundwa kwa Katiba Mpya inayokubalika na wananchi. Mwenyekiti wa CUF akizungumza kwa niaba ya viongozi wenzake katika ofisi za Makao Makuu ya NCCR-Mageuzi jijini Dar es Salam, Profesa Ibrahim Lipumba amesema sababu kubwa ya kusitisha mikutano iliyopangwa inatokana na kuitambua nia ya Rais Kikwete aliyoionesha katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi, ambapo alibainisha wazi kuwa atakutana na viongozi wa vyama hivyo kuzungumzia suala hilo la Muswada wa Katiba. Kutokana na nia hiyo, alisema vyama hivyo havina budi kusubiri mazungumzo na Rais Kikete yatakayotoa dira ya kitakachoendelea katika

Mama aliyejifungua ajirusha ghorofani MUHIMBILI na kufariki dunia hapo hapo

Image
WATU wawili wameripotiwa kufariki dunia jijini Dar es Salaam katika matukio mawili tofauti akiwamo mzazi aliyejirusha kutoka ghorofani katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marieth Mnangi, alisema jana kuwa mzazi huyo, Lewana Melkiory (38) mkazi wa Sinza, alijirusha kutoka wodi ya wazazi ghorofa ya pili juzi usiku na kufariki dunia papo hapo. Alisema mwanamke huyo alijifungua Oktoba Mosi na kulazwa hospitalini hapo na mtoto wake.Kamanda Marieth alisema sababu za kujirusha kwa mwanamke huyo hazijafahamika, na maiti imehifadhiwa hospitalini hapo. Katika tukio jingine, dereva wa pikipiki T 774 CKK Fekon aliyefahamika kwa jina la utani Kwea pipa, amefariki dunia baada ya kugongana uso kwa uso na gari lisilofahamika. Ajali hiyo ilitokea juzi, barabara ya Kitunda, eneo la Hali ya Hewa TANESCO. Abiria katika pikipiki hiyo, Robiso Hamazima (21) mkazi wa Ubungo, alijeruhiwa na amelazwa hospitali ya Amana. Maiti imehifadhiwa

Uzuri wangu upo ndani ya MAPAJA yangu na Sihangaiki na dawa za kichina kama wenzangu"..Ray C"

Image
Huyu ni Msanii mkongwe maarufu kwa jina la Ray C ambaye leo hii ameamua kuyanadi mapaja yake akidai kwamba hiyo ndo sehemu muhimu ya mwili wake... Kila mwanamke ana mvuto wake, wapo wanaojivunia nyuso zao zenye macho yaliyoumbwa yakaumbika, nyuso zisizo na chunusi wala aina yoyote ya kovu... Wapo pia wanaojivunia makalio yao na sote tumekuwa tukishuhudia jitihada mbali mbali za akinadada za kujitengenezea makalio ya bandia ( ya kichina ) ili kujiongezea mvuto kwa wanaume. Hali ni tofauti kidogo kwa msanii Ray C.Yeye anaamini kwamba mapaja ndo kila kitu na kwamba ni hicho kigezo muhimu kinachoangaliwa na wanaume wengi wa siku hizi... "Nani asiyejua kwamba kuna makalio ya kichina? Umewahi sikia wapi mapaja ya kichina? .. Haya tunayo wachache ambao tumejaliwa na muumba wetu" .Hii ni kauli ya Ray C alipokuwa akipiga stori na mpekuzi wetu. Akiongelea ku

PICHA ZA DIAMOND NA WEMA WAKIWA NDANI ZAENDELEEA SAMBAA

Image
Utata umeendelea kuibuka kuhusu picha zinazosadikiwa ni za hivi karibuni zikimwonesha Wema Sepetu na Nasib Abdul "Diamond Platnumz" katika nyakati tofauti kwenye nchi moja huko Asia wakiwa kimahaba CHUMBANI Picha hizi zimehusishwa na usaliti wa Diamond kwa mpenziwe wa sasa aitwaye Penny, na gazeti moja la udaku lilichapisha habari kuwa wawili hao hawapo katika hali nzuri baada ya Diamond kurudiana na aliyekuwa mpenzi wake, Wema. Wakati Wema akiripotiwa kuwa alikuwa China kwa ajili ya sherehe za kumbukumbu ya sikukuu yake ya kuzaliwa, Diamond aliripotiwa kipindi hicho hicho akiwa Malaysia kwa ajili ya shughuli zake za kutumbuiza na burudani. Baada ya picha hizi kuvuja,Diamond amefunguka na kujitetea kuwa eti walikuwa wana shoot movie yao mpya, lakini hembu tutumie macho kwa kufananisha hizi picha ili tuupate ukweli. Angalia picha ya juu hair style ya Diamond na mawani aliyovaa. Picha ya juu alipiga Diamond akiwa dukani huko Malaysia

Wasanii wa Nigeria wanavituko: Msanii mwingine wa kike apanda jukwaani akiwa hajavaa kitu ndani

Image
Ni msanii mwingine wa kinigeria ambaye kaamua kujitafutia umaruufu kwa staili ya kutovaa nguo za ndani.... Kwa mujibu wa mitandao ya kinigeria, msanii huyu ambaye ni underground anaripotiwa kunywa pombe kupita kiasi kabla ya show kuanza , hali iliyomfanya asijitambue na kuona kila kitu ni kizuri mbele ya macho yake. Baada ya show kuanza, mrembo alipanda jukwaani kama kawaida huku akiwa na kivazi kinachoziba makalio yake kwa juu tu.Ndani hakuwa na kitu.Mziki ulipokolea, kila kitu kilianikwa hadharani. <<BOFYA HAPA>>

Mzee Majuto atangaza kujitosa kugombea ubunge mwaka 2015 kwa tiketi ya CCM

Image
Kwa mujibu wa mtandao wa Bongomovies, msanii mkongwe wa vichekesho hapa nchini, Amri Athumani 'King Majuto' ametangaza kugombea ubunge katika jimbo la Tanga Mjini mwaka 2015 Majuto mwenye umri zaidi ya miaka 60 ametangaza nia yake hiyo alipohojiwa na Clouds na amedai kwamba atagombea kupitia CCM. Juhudi za kumtafuta mzee Majuto ili aweze kututhibitishia kama habari hizi ni za kweli au la na kama ni kweli ana mipango gani na jimbo hilo la Tanga mjini zinafanyika...

UDOM yashindwa kudahili wanafunzi wengi kutokana na wanafunzi hao kutokuwa na VIGEZO

Image
CHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM), kimeshindwa kudahili wanafunzi wa kutosha kutokana na wahitimu kutokuwa na vigezo. Malengo ya kuanzishwa kwa chuo hicho ni kudahili wanafunzi 40,000 ifikapo mwaka 2015 lakini hadi sasa idadi ya wanafunzi waliopo hawazidi 15,000. Taarifa hiyo ilitolewa jana na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Chuo hicho, Profesa Idris Kikula wakati wa uzinduzi wa baraza la pili la wafanyakazi la chuo hicho. Profesa Kikula alisema idadi ya wanafunzi wanaodahiliwa chuoni hapo inaendelea kushuka siku hadi siku ikilinganishwa na nafasi zilizopo. "Changamoto zinazotukabili ni nyingi lakini za msingi ni idadi ya wanafunzi wanaodahiliwa imendeelea kushuka mwaka hadi mwaka kutokana na ukosefu wa wahitimu wa kutosha wenye vigezo vya kudahiliwa katika kozi zetu. "Changamoto nyingine ni ufinyu wa bajeti unaotokana na vyanzo vichache vya mapato ya chuo na pia ufinyu wa ruzuku ya Serikali ndiyo vinakwamisha chuo kufikia malengo yake kama ilivyotara

Hiki ni KILIO cha msanii DIAMOND baada ya kufanyiwa UMAFIA na Producer wake

Image
Hii ni kauli ya uchungu ya msanii Diamond ambaye analaani kitendo cha producer wake kuuvujisha wimbo wake mpya wa Nikifa Kesho: "Kuvujisha Nyimbo yangu hakuwezi kunipunguzia wala Kunidhuru chochote… Sanasana utanizidishia Umaarufu na kunipa Show zaidi… " Kama nimeacha kurecord nyimbo Studio kwako Uspanick, Relax.. tafta Msanii mwingine Mkali zaidi yangu umrecordie Ngoma Ahit kushinda mimi… .ila Kuvujisha Unajisumbua bure" – Diamond "Hisia zangu zapelekea kuandika haya nikiwa na uzuni ndani yake kwa kuwa muda nilioutmia na akili nliotumia dhairi ni Mungu Pekee anajua ndio Maana aina budi namwachia Mungu pia…. "Imani iliyo ndani yangu nikiamini kuwa kutoa ya Moyoni uufanya Moyo kujengeka Upya, Mwenyezi Mungu Atanijenga Upya na kuwaandalia kitu kipya hivI karibuni"– Diamond "Hii ni changamoto kwangu na Kuweza kujua sheria za Muziki wangu na kusimamia Haki zangu'

Mwanamke anaswa akijichua kwa kutumia MAHINDI ( Mahindi chakula

Image
Uhaba wa wanaume umeendelea kuwa janga la kimataifa kwa akina dada ambao kiidadi ni wengi kuliko wanaume.. Mwezi wa sita mwaka huu, mtandao huu ulitupia video moja ya mwanamke wa kibongo akifanya mapenzi na chupa ya Coca cola baada ya kuhangaika kwa miaka mingi bila kumpata mwanaume wa kumfariji... Kana kwamba haitoshi, mwezi wa tisa mwaka huu, mtandao huu ulitupia habari moja ikionesha kundi la wanawake ( sio watanzania) ambao waliamua kuandamana ili kuishinikiza serikali yao iwasaidie WAOLEWE. Kwa matukio hayo machache, uhaba wa wanaume duniani umeendelea kuwatesa wanawake na kuwafanya wafanye maamuzi magumu likiwemo la huyu dada aliyeamua kufanya mapenzi na mahindi... Kwa mujibu wa mtu aliyetutumia picha hizi, mrembo huyu alikuwa shambani akivuna mahindi katika bustani yao ...Baada ya kuzidiwa, alijisogeza pembeni na kuanza kujiridhisha kwa kutumia mhindi ...

5th International African Festival Out Now!

Image
Africa festival Enie Susan Tatah, CEO of Afriactive and African International Festival,Tubingen 5th International African Festival Tübingen 17. – 20 July 2014 Tübingen will once again host the International Africa festival 2014. The 5th Edition will bring you the best in African diversity, culture, music from the continent and beyond. Save this date now, and join us in Tübingen for world-class performances, unbeatable atmosphere, meet and make new friends. We welcome you to the African Village in Tübingen - 4days non-stop, spice up your life and be amongst the thousands of people that will celebrate the 5th anniversay of Tübingen Africa Festival. Stay online for more details www.afrikafestival.net Call for Artist 2014 Are you interested in performing next year at the 5th International African Festival in Tübingen - Stuttgart south of Germany? Are you a band on tour, looking for festivals to promote and sell your CDS? Are you interested in supporting the aims and ob

T.I.D amwaga MACHOZI baada ya KUPIGWA CHINI na demu Wake

Image
Sifa mojawapo ya Mwanaume jasiri ni kuwa na uwezo wa kukabiliana na GUMU lolote litakalokukabili katika maisha yako...Hapa namzungumzia msanii TID ambaye yuko kitandani akiuguza maumivu ya kuachwa na demu wake Sote tunayajua maumivu ya mapenzi pindi unapoachwa na mtu flani umpendae, mtu ambaye ulimwamini na kukubali kumvulia nguo zako na kisha kumpa moyo wako... Pamoja na maumivu ya KUPIGWA KIBUTI na demu wake, TID amepiga moyo konde na kujitosa facebook kueleza kilichomsibu. “I am very sad to tell u guys that ……….am single again my girl just left me,” ameandika TID kwenye Facebook. Na ofcourse, mashabiki hawajamwacha peke yake. “There are plenty of fish in the sea, and you fish with dynamite ndugu wangu, hakuna matata, means she was not worth to stand next to you…,” ameandika mmoja na mwingine kumwambia, “I’m guessing there is going to be an awesome song of this sad

HOUSE GIRL (Mfanyakazi wa ndani ) akutwa AMEKUFA kisimani na huu ndo ujumbe Alioucha

Image
MFANYAKAZI wa ndani aliyetambuliwa kwa jina la Mwantumu Hassan (22) amekutwa amekufa ndani ya kisima, huku akiwa ameacha ujumbe wa "Mwantumu A Hassan najua kitakuwa kilio kwetu, mniombee nifike niendako mwisho wa kuishi duniani". Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camilius Wambura, tukio hilo ni la juzi sa 3:00 usiku katika maeneo ya Mbezi Juu, Goba kwa Mloa. Alisema kwa mujibu wa mtoa taarifa Manara Kakwezi (28), mfanyakazi huyo wa ndani hakuonekana maeneo ya nyumbani kwa muda mrefu, jambo lililowatia wasiwasi na kuamua kuanza kumtafuta. “Walimkuta katika kisima cha maji safi ambayo ni kwa ajili ya matumizi ya kila siku akiwa ameshakufa,” alisema kamanda. Mara baada ya kufanya upekuzi katika vitu vyake ndipo ulikutwa ujumbe huo katika pochi yake. Uchunguzi unaendelea ili kubaini chanzo cha kifo chake, maiti imehifadhiwa hospitali ya Mwananyamala kwa uchunguzi. Katika tukio jingine, mpanda minazi aliyetambuliwa kwa jina la Ally Ramadh

Penny amwaga MACHOZI baada ya kusikia kuwa Diamond na Wema Sepetu wamerudiana kimya kimya

Image
ISHU ya wapenzi zilipendwa, Wema Isaac Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kudaiwa kurudiana inadaiwa kumtesa mpenzi wa sasa wa Diamond ambaye ni mtangazaji wa DTV, VJ Penniel Mungilwa ‘Penny’ hivyo kulazimika kukiri kuwa hajawahi kupitia wakati mgumu kama anaopitia sasa. Kwa mujibu wa vyanzo vya karibu na Penny, mwanadada huyo amekuwa akikosa amani kila anaposikia habari za Wema kurudiana na Diamond hivyo kuwa katika wakati mgumu. “Watu wanapomwambia au kumuuliza Penny habari za Diamond kurudiana na Wema amekuwa akiumia sema tu watu hawajui,” kilisema chanzo hicho. Hata hivyo, baada ya taarifa hizo kuwa habari ya mjini, mwishoni mwa wiki iliyopita, Penny alifunguka kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa anachokifanya ni kuhakikisha anamshikilia staa huyo wa Bongo Fleva hadi hapo Mungu atakapoamua vingine. “Katika uhusiano niliowahi kuwa nao huu ni mgumu mno,” ilisomeka sehemu ya utetezi wa Penny aliouandika juu ya penzi lake na Diamond. Hakuishia hapo

Vijana 11 wakamatwa wakipewa mafunzo ya kijeshi msituni kwa kutumia CD za Al Shabaab

Image
Na Abdallah Bakari, Mtwara — POLISI mkoani Mtwara inawashikilia watu 11 kwa tuhuma za kupata mafunzo ya kijeshi msituni kwa kutumia CDs za al-Shabaab. Tukio hilo la aina yake limetokea katika mlima Makolionga wilaya ya Nanyumbu mkoani hapa ambapo pia CDs zenye mafunzo mbalimbali ya kijeshi 25 zimekamatwa. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mtwara, Zelothe Stephen ameuambia “mtandao wa Kusini Leo” kuwa watuhumiwa hao walikamatwa wiki moja iliyopita baada ya jeshi lake kupata taarifa kutoka kwa wasamaria wema : “CD hizo zilikuwa zinatoa mafunzo ya Al-Shabaab ya kuchinja watu, Mauaji wa Osama Bin Laden, Zindukeni Zanzibar, Kuandaa Majeshi, Mauaji ya Idd Amin na Mogadishu Sniper,” alisema Stephen. Alisema watuhumiwa wote ni wakazi wa wilaya ya Nanyumbu mkoani hapa na kwamba walikuwa wakiongozwa na Mohamed Makande 39, mkazi wa kijiji cha Sengenya ambaye pia anashikiliwa na jeshi hilo. Aliwataja wengine waliokamatwa kuwani Hassan Omary (39) mkazi wa kijiji cha Nanyulu,

AIBU: Video ya akina mama wa kitanzania wakicheza uchi ndani ya ukumbi wa kitchen part yavuja mtandaoni

Image
Wanawake kadhaa wa kibongo ambao mpekuzi wetu hajafanikiwa kuwatambua majina yao wamenaswa live ndani ya ukumbi wakicheza uchi kwa kisingizio cha Kumfunda mwana mwali.. Katika video hiyo chafu, akina mama hao wanaonekana wakianza mchezo wao huku wakiwa wamevaa kawaida... Baada ya dakika moja mbeleni, video hiyo inawaonesha akina mama hao wakisaula nguo moja moja mpaka walipobaki uchi wa mnyama na kisha kuendelea kucheza bila aibu.. Bofya hapo chini ujionee.. <<BOFYA HAPA KUJIONEA>>