Posts

MWANAMKE ABAKWA NA KUCHOMEKWA KISU SEHEMU ZA SIRI HUKO SHINYANGA

Image
Mwanamke mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25 hadi 30 amekutwa amekufa katika makaburi ya Majengo soko la mjini Kahama mkoani Shinyanga huku mwili wake ukiwa ametobolewa macho na kuonesha kupigwa na kitu kizito usoni. Mwanamke huyo ambaye hajatambulika jina lake na anakotoka alikuwa amevaa Blauzi nyeusi yenye madoa meupe, viatu vyenye urembo wa silva, mnene kiasi, mweusi na mwenye nywele ndefu. Mwili wa Mwanamke huyo amegunguliwa leo majira ya saa sita Mchana baada ya watu waliokuwa wanachimba kaburi kuuona mwili huo pembeni ya eneo hilo na kutoa taarifa Polisi. Kwa mujibu wa majirani wanaoishi eneo la makaburi hayo, tukio hilo linakisiwa kutokea usiku wa kuamkia jana huku baadhi ya kina mama wakisema kuwa walisikia sauti ya mwanamke akipiga mayowe katika eneo la mnadani.   Naye mwenyekiti wa kitongoji cha Majengo   Kaskazini Noel Mseven amesema amepata taarifa kutoka kwa wananchi na baada ya kufika katika eneo hilo walibaini kuwa sehemu za siri z

MWAKTEMBE AWAFUKUZA KAZI WALIOMSAIDIA AGNESS MASOGANGE KUPITISHA MADAWA YA KULEVYA KATIKA UWANJA WA NDEGE

Image
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe ametoa agizo kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) kuwafukuza kazi na kuliagiza jeshi la Polisi nchini kuwaunganisha na wengine kwenye kesi mahakamani ili kujibu mashitaka ya jinai, wale wote waliohusika katika kuuwasaidia Agness Gerald na mwenziye Mellisa Edward kupitisha dawa za kulevya aina ya Crystal Methamphetamine "TIK" au "Meth" au "USAN" kilogramu 180 kuelekea Afrika Kusini Julai 5, ambako walikamatwa katika kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha O. R. Tambo nchini humo. Waziri Mwakyembe ametoa agizo hilo leo, ofisini kwake, mbele ya waandishi wa habari wakati alipowaita ili kuufahamisha umma kuhusu hatua zilizochukuliwa na Wizaa yake kuhusu suala la dawa za kulevya. Waliofukuzwa ni   Koplo Ernest, Yusuph, Jackson, Juliana Tadei na Mohamed ambao walihusika katika kuwasaidia Agnes Gerald (Masogange) na mwenzake Mellisa kupitisha dawa za kulevya kuelekea Afrika Kusini ambako walikama

LADY JAYDEE AONANA NA MSANII MKONGWE BARANI AFRIKA SALIF KEITA..ANGALIA PICHA HAPA

Image

RC TANGA AMUWEKA MAHABUSU MKAGUZI WA NDANI

Image
Mkuu wa mkoa wa Tanga, Luteni Mtaafu Chiku Gallawa, amemuweka rumande Mkaguzi wa Ndani wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani, Najim Mpate, kwa madai ya kumdharau wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani. Tukio hilo lilitokea jana wakati Mpate alipokuwa anatoa maelezo kufuatia hoja za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa Halmashauri ya Pangani ambapo ilionekana kuna hoja ambazo hazijapatiwa majibu tangu mwaka wa fedha 2008/2009. Hoja kuu inayoongelewa ni ile inayohusu mkandarasi mmoja aliyelipwa fedha zaidi ya mkataba ulivyokuwa unaonyesha hivyo Mkuu wa Mkoa alikuwa anataka maelezo kwa nini hoja hiyo ya karibu miaka mitano iliyopita inaendelea kujirudia na kwanini mkandarasi husika hajarudisha fedha hizo ili kufuta hoja hiyo. Mara baada ya kujieleza Mkaguzi huyo alilipiga chini kabrasha alilokuwa amelishinda, kitendo ambacho kiliwashtua madiwani kwani kilionekana kuwa ni dharau ya wazi kwa Mkuu wa Mkoa. Bada ya tuki

HAWEZI " KU S>X " MPAKA ASHIKILIE NA MKONO.......HUU NDO UFUMBUZI WA TATIZO

Image
Mimi ni msichana nimewahi kuwa na rafiki wa kiume hapo nyuma, huyo kaka alikua tu kama rafikiyangu baadae ikatoke tukapendana na kuwa mtu na girlfriend wake I mean tulianza kutoka kama wapenzi. Huyo mwanaume alikua yuko nice ingawa baadae tulikuja tukaachana. Tatizo la huyo mwanaume ni wakati wa kufanya mapenzi.  Tulikua tukifanya romance , tukiwa tunajiandaa kufanya mapenzi alikua yuko vizuri , tu tunaendana vizuri na wote tunakua tuko tayari kungonoka ila wakati wa kungonoka ndo kasheshe linaanzia hapo. Kwanza uume wake hauingii, yaani ni lazima ashikilie na mkono ndo aanze kuingiza na kutoa na hata kama akishikilia bado hawezi kutia kabisa yaani hawezi kwenda juu na chini na hata mimi nashindwa kumsapoti kukatika kwani uume wake unakua kama umeshasinyaana. Kitu kingine alikua anadai eti uchi unateleza kwa hiyo ananifuta ndio aingize ukiwa mkavu kabisa wakati mimi najua uchi ukiwa una ute ndio rahisi kwa kufanya mapenzi na pia haiwi kazi ng

NAFASI MPYAA ZA KAZI ZILIZOTANGAZWA HII LEO AUGOST 15 HIZI HAPA

Image
operationa risk manager NMB JOB PURPOSE - Overseeing that the day-to-day quality control of regulatory and internal control requirements is maintained. In addition, drive and implement an effective risk management framework, and promote a strong risk management. - Partnering with the Branches and Operations department on operational risk matters to ensure business growth is balanced with risk management and control. - Ensuring proper functioning of day-to-day controls, periodic monitoring of activities, timely identification and reporting of significant risks and losses and effectiveness of risk mitigation actions. How To Apply CLICK HERE TO APPLY Deadline : 26/08/2013 BRANCH ACCOUNT National Insurance Corporation Key Duties and Responsibilities -To head the accounting functions in the Branch -To supervise all financial transactions so as to ensure adherence to approved budgets and Financial Regulations -To monitor cash inflows and outflows and ad

Jaji Warioba: Watu Wenye Ulemavu Toeni Maoni Yenu

Image
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bi. Jessica Mkuchu (kulia) akiongea kabla ya kuanza kwa mkutano wa Baraza Maalum la Katiba kwa Watu Wenye Ulemavu mjini Dodoma leo (Alhamisi, Agosti 15, 2013). Wengine ni Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Joseph Warioba (katikati) na Mjumbe mwingine Bw. Ally Saleh. Baadhi ya Wajumbe wa Baraza Maalum la Katiba kwa Watu Wenye Ulemavu wakijadili rasimu ya katiba mjini Dodoma leo (Alhamisi, Agosti 15, 2013).  Mkurugenzi wa Shirikisho la Walemavu Tanzania (SHIVYAWATA), Bw. Novatus Rukwago akiongea leo (Alhamisi, Agosti 15, 2013) katika mkutano wa Baraza Maalum la Katiba kwa Watu Wenye Ulemavu linalofanyika mjini Dodoma. Mkalimani wa Lugha ya Alama Bw. Kudra Mnisi akiongea na wajumbe wa Baraza Maalum la Katiba kwa Watu Wenye Ulemavu leo (Alhamisi, Agosti 15, 2013) mjini Dodoma. Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Walemavu Tanzania (SHIVYAWATA), Wakili Amon Anastaz akiongea katika Baraz

PICHA ZA MAPOKEZI YA FEZA KESSY UWANJA WA NDEGE DAR

Image
Mwakilishi wa Tanzania katika jumba la Big Brother 'The Chase' aliyetolewa Jumapili Agosti 11 Feza Kessy amewasili leo jioni Tanzania katika uwanja wa kimataifa wa Mwl J.K Nyerere jijini Dar es Salaam. Katika mapokezi watu mbalimbali walijitokeza kumpokea Feza Kessy akiwemo Vanessa Mdee,Mama mzazi wa Feza kessy,ndugu jamaa na marafiki pamoja na Meneja wa Uhusiano wa Multichoice Tanzania 'Barbara'.  Rafiki wa karibu sana na Feza anayejulikana kwa jina la Vanessa Mdee nae alikuwepo kumpokea rafiki yake.

WAZIRI MWAKYEMBE ATUA AIRPORT DSM GHAFLA KUSAKA WAUZA UNGA

Image
Waziri wa uchukuzi Dk. Harison Mwakyembe  amefanya ziara ya kushtukiza kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu Julius Kambarage Nyerere  jijini Dar-es-Salaam na kubaini kuwa upitishwaji wa madawa ya kulevya uwanjani hapo hufanywa kwa msaada wa baadhi ya wafanyakazi    wanaoshirikiana na wasafirishaji hao kupitisha shehena hizo. Waziri Mwakyembe  aliwasili uwanjani hapo majira ya saa kumi na mbili alfajili na kutaka kuonyeshwa hatua ya mwanzo hadi mwisho ya ukaguzi wa mizigo uwanjani hapo na kupokea taarifa toka kwa mamlaka zinazosimamia uwanja huo. Naye mkurugenzi wa uwanja huo Bw Moses Malaki amesema uwanja unakidhia matakwa ya kiusalama wa kimataifa ila jambo kubwa ni uwepo wa watau wachachae ambo wanafanya kazi kinyume na mfumo huo. Akihitimisha ziara hiyo Mh Mwakyembe amesema amebaini mambo mengi ikiwemo kuwa katika uwanja huo kuna taasisi nyingi za kiusalama ambazo zina

FANYA HAYA KUZUIA MATITI YA YAKO/MPENZI WAKO YASIWE MALAPA

Image
  Kwanza kabisa hakikisha mtindo wa kulala ni kifudifudi (kulalia tumbo), kwa kufanya hivyo kunasaidia kwa kiasi kikuwa kufanya matiti yako pumzike, kwamba hakutakuwa na kuning'inia kama utakuwa umelala chali(lalia mgongo) au kiubavu.  Zoezi...1 Asimame wima dhidi ya mlango au ukuta kisha aegeshe matiti yake mahali hapo kwa nguvu kisha aachie (ajitoe ukutani), zoezi hili hufanya matiti yaume sana lakini wewe kama dada mpe moyo kuwaavumilie. Afanye hivyo mara 20 kila asubuhi.  Zoezi....2 Simama wima huku mikono yako ikiwa imenyooshwa huku na kule kisha ipeleke mbele nakukutanisha viganja vyako alafu irudishe nyumba kadiri uwezavyo (sio lazima ikutane) ila utahisi maumivu fulani sehemu ya matiti (misuli yafanya kazi hapo)....fanya hivyo mara 10 na ongeza hesabu njinsi unavyokua.  Zoezi...3 Ukiwa umesimama wima na mikono yako imenyooshwa huku na hule inan

HAYA NDO MAJINA 250 YA WAUZA UNGA NA BANGI NCHINI TANZANIA.

Image
Majina ya watanzania 255 wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya   yamejulikana  na  JAMHURI  imeamua kuyachapisha...   Uchunguzi uliofanywa umebaini kuwa kwenye orodha hiyo wapo watu maarufu na baadhi wamekuwa wakitoa misaada ,huku wengine wakijifanya ni wazee  wa kanisa na kushiriki  shughuli mbalimbali za kijamii....   Uchunguzi wetu usio na chembe ya shaka  unaonesha kuwa orodha hii ya watu watakaoandikwa hapo chini kwa sasa wapo chini ya uangalizi wa mahakama na polisi..   "Ni kweli kuna watu tumewapeleka mahakamani, huko wamewekwa chini ya uangalizi na wanatakiwa kuripoti  kwa  muda wanaopangiwa.Tunafanya hivyo baada ya uchunguzi wetu kubaini kwa ni kweli  wanahusika na biashara hii haramu."Alisema  Nzowa Nzowa aligoma kuyataja majina hayo, lakini uchunguzi uliofanywa na JAMHURI  kutoka ndani ya jeshi la polisi na  mahakama  umefanikiwa  kuyapata  majina  hayo... Katika orodha hii, yumo mchungaji aliwekwa chini ya uangalizi

CHID BENZ ASIMULIA JINSI ALIVYOTHIRIWA NA BANGI NA MADAWA YA KULEVYA....ANASEMA HAWEZI KUMALIZA DK 2O BILA KUVUTA

Image
  Rapper Chidi Benz leo kwa mdomo wake mwenyewe amekiri kuwa alikuwa akitumia madawa ya kulevya kwa miaka mingi. Chidi amefunguka leo kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM. Alisema japo hakwenda Nairobi kwaajili ya rehab, mazingira yalimlazimu kutafuta tiba ili aondokane na madhara ya madawa hayo. Alieleza kuwa alipofika jijini Nairobi alikuwa akitakiwa kufanya show nyingi na mwandaaji alimuuliza kama kuna kitu atahitaji ili awezE kufanya show vizuri. “Nikamwambia Yeah kuna vitu ntavihitaji,” alisema Chidi. “Nikamwambia ‘mimi bana kuna vitu ninavyovitumia nikikaa 20 minutes bila hivyo vitu ni noma nachanganyikiwa na akili tena sina, kwahiyo sijui tutafanyaje’.   Akaniambia ‘mimi ntapataje hivyo vitu Chidi na Nairobi ni gharama sana. Nikamwambia ‘mimi pia nina wazo jingine kuna mtu alinitonya kwamba kuna kitu kinaweza kikafanyika na pesa Fulani, pesa nyingi kama milioni 15, 16 hivi za kibongo.  Akaniambia kikifanyika hicho maanake vinavyofolewa kabisa h

KAGERA KWANUKA, CCM YAFUKUZA MADIWANI 8 WA MANISPAA YA BUKOBA

Image
  Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kagera, leo kimewafukuza madiwani 8 wa Manispaa ya Bukoba kupitia chama hicho na kufutwa nyadhifa zao za udiwani kutokana na mgogoro uliokuwa ukiendelea Waliofukuzwa ni: Richard Gaspar (Miembeni ) Murungi Kichwabuta (Viti maalum) Alexander Ngalinda ambaye pia ni Naibu Meya (Buhembe) Yusuf Ngaiza ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa wilaya (Kashai) Deusdedit Mutakyahwa (Nyanga) Robert Katunzi (Hamugembe) Samwel Ruhangisa (Kitendaguro) na Dauda Kalumuna (Ijuganyondo)

MBOWE AWATAKA WANANCHI KUCHANGIA RASIMU YA KATIBA MPYA

Image
Wananchi wa mkoa wa Mara wametakiwa kuchangia kikamilifu katika rasimu ya Katiba mpya ili wamuenzi Baba wa Taifa Mwl JULIUS KAMBARAGE NYERERE kupitia michango yao itakayoiwezesha Tanzania kupata Katiba mpya. Mwenyekiti wa taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) FREEMAN MBOWE amesema mjini Musoma kuwa  suala la katiba ni jambo linalogusa maisha ya watanzania hivyo ni muhimu kutumia busara kujadili kwa mustakabali wa taifa. Akizungumza katika mikutano na wananchi iliyofanyika kwenye wilaya za Bunda, Serengeti, Tarime na Musoma mjini MBOWE amempongeza Rais wa Tanzania Dk. JAKAYA KIKWETE kwa kukubali kuanzisha mchakato wa katiba mpya. Kwa upande wake mbunge wa Ubungo JOHN MNYIKA aliyeambatana na Mwenyekiti huyo ametoa wito kwa wananchi wa mkoa wa Mara kushiriki katika hatua zote zilizosalia katika kupata Katiba mpya ili wawe sehemu ya kuandikwa kwa historia