Posts

AIBU: KAMANDA WA CHADEMA AREKODIWA AKIJIELEZA JINSI ALIVYOKUBALI KUCHEZEWA NYETI ZAKE NA KUSAGWA NA JIKE MWENZAKE

Image
Miezi michache baada  ya  kuvuja  kwa  video  inayomuonesha  mkurugenzi  wa  ulinzi  na  usalama  wa chama  cha  demokrasia  na  maendeleo (CHADEMA),Wilfred Lwakatare  akidaiwa  kupanga  mauaji  ya  mwandishi  wa  habari,video  nyingine  ya  kamanda wa chama  hicho,Linda Bezuidenhout  imenaswa  live....!! Tofauti  na  video  ya  Lwakatare,hii  ya  Linda inaonesha  mambo  ya  aibu  sana  ambapo  mwanadada  huyo  amerekodiwa  akijieleza  NAMNA  ALIVYO  NUSURIKA  KUSAGWA  NA  MWANAMKE  MWENZAKE..... Kwa  mujibu  wa  uchunguzi  wetu,Kamanda  huyu  wa  CHADEMA  alirekodiwa  kwa  ridhaa  yake  kwa  lengo  la  kumfikishia  ujumbe  huyo  mwanamke  kwa  uchafu  aliomfanyia.... Katika  video  hiyo, kamanda  huyo  wa  CHADEMA  alijieleza jinsi  alivyokuwa  anasagwa  na mwanamke  huyo.... "Mimi  nimefanya  wema, wema  wangu  umeniponza, wema  wangu  my assssss, wema  wangu  my  fangasi....msenge  we. "Una wema  wewe?? Ungekuwa  na  wema  ungekuja  kushika  KU***

HAUSIBOI ALIYEMLAWITI BINTI WA MIAKA MINNE AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA HUKO MPANDA

Image
Mahakama  ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi imemhukumu kijana, Baraka  Juma (22) mkazi wa kijiji cha Nkungwi  wilayani humo, kifungo cha maisha jela  baada ya kupatikana  na hatia  ya  kosa la kumlawiti mtoto wa kike mwenye umri  wa  miaka minne  baada  ya kumhadaa na  kumlewesha bia. Akisoma  hukumu  hiyo  juzi, Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Chiganga Tengwa  alisema ameridhishwa  na  ushahidi  pasipo kutia shaka uliotolewa mahakamani hapo na upande zote  mbili za mashitaka na utetezi.   “Nimelazimika kutoa adhabu  kali  kwa mshtakiwa  baada ya  mahakama  hii kumtia  hatiani  ili  iwe  fundisho  si kwake  tu, lakini  pia  kwa wengine  wenye tabia  kama  yako .... kitendo  ulichomtendea mtoto  huyo  ni  cha kinyama hustahili  kuonewa  huruma, “ alisema Tengwa. Awali Mwendesha Mashitaka, Mkaguzi wa Polisi, Lazaro Masembo alidai mahakamani hapo kuwa mshitakiwa alitenda kosa hilo Aprili 2 mwaka huu nyumbani kwa wazazi  wa mtoto h

PATA KUWASILIANA NA RAFIKI ZAKO UKIWA NA KIFURUSHI CHA TIGO KABAANG!

Image
The blogger Sir. Phars akiwa na rafiki zake wakifurahia Tigo KABAANG' toka kushoto ni Prof akiwa Steve  fuahia huduma mbalimbali za kifurushi cha KABAANG,  Steve mzee wa chuga na  Phars the blogger wakifurahia kwa pamoja huduma za kifurushi cha tigo KABAANG; the blogger Sir. Phars akiwa na rafiki zake wakifurahia Tigo KABAANG' toka kushoto ni Prof akiwa Steve

ANGALIA PICHA ZA MSANII DIAMOND ENZI ZAKE ZA UTOTO

Image
Diamond Platinumz ametoa picha nyingine ambayo inawaonyesha yeye na ndugu yake Romie Jones wakiwa wadogo,  kuna picha kadhaa ameshawahi kuzitoa na zilionekana hapahapa millardayo.com. ambapo leo icheki hii picha tena kwenye enzi zao za utotoni wakiwa na baiskeli ya kitoto ambayo ni moja ya vitu vikubwa sana kwa mtoto kuwa nayo kwa kipindi hicho, kwa wale mliokuwa nazo kama hizi BMX najua tunaelewana… ilikua nomaa   Diamond ni huyu wa katikati, Rommy Jones ni huyu wa mbele Hii ni picha ambayo pia waliwahi kuiweka waziiii,source bongoclantz

RAIS KIKWETE AKIWA WILAYANI KARAGWE

Image
 Umati uliojitokeza katika sherehe za uzinduzi wa wilaya mpya ya Kyerwa  Umati uliojitokeza katika sherehe za uzinduzi wa wilaya mpya ya Kyerwa.  Umati uliojitokeza katika sherehe za uzinduzi wa wilaya mpya ya Kyerwa  Umati uliojitokeza katika sherehe za uzinduzi wa wilaya mpya ya Kyerwa  Umati uliojitokeza katika sherehe za uzinduzi wa wilaya mpya ya Kyerwa  Wananchi wakimshangilia Rais Kikwete baada ya kuzindua kivuko cha MV Ruvuvu Jumamosi Julai 27, 2013 Wananchi wakimshangilia Rais Kikwete baada ya kuzindua kivuko cha MV Ruvuvu Jumamosi Julai 27, 2013.Picha Na Ikulu

MBUNGE NASSARI ASOTA POLISI KWA MADAI YA KUMPIGA KADA WA CCM

Image
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari jana alishikiliwa na jeshi la polisi mkoani Arusha kwa saa tatu na nusu kwa tuhuma za kumshambulia kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hussein Warsama siku ya uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Makuyuni, wilayani Monduli. Nassari aliyefika Kituo Kikuu cha Polisi Arusha saa 2:30 asubuhi jana ili kuitikia wito wa kutakiwa kuripoti kituoni hapo, alinusurika kuswekwa mahabusu baada ya kujidhamini mwenyewe majira ya saa saa 6:02 mchana na hivyo kuachiwa kwa dhamana. Kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi ya Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai mkoani Arusha (RCO), Nassari anadaiwa kumshambulia Warsama Juni 16, mwaka huu, eneo Makuyuni alikokuwa wakala mkuu wa mgombea udiwani kupitia Chadema, Japhet Sironga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas hakupatikana jana kuzungumzia suala hilo, baada ya simu zake zote mbili za kiganjani kuita bila kupokewa wakati RCO, Duwan Nyanda alisema Nassari aliripoti kwake.  Hata

"SASA NIMEOKOKA.....UJINGA SITAKI TENA"...LULU MICHAEL

Image
MUIGIZAJI machachari wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema baada ya kupata misukosuko ya kimaisha, sasa maisha yake ameyaelekeza katika sala kumuomba Mungu amsamehe makosa yake.  Lulu alisema hayo juzi, katika kipindi cha Friday Night Live (FNL), kinachorushwa na kituo cha Televisheni cha EATV cha Jijini Dar es Salaam. “Sasa hivi nasali sana, namuamini Mungu katika maisha yangu na mbali ya kwenda kanisani, pia nasali mwenyewe katika sala zangu. “Ningependa maisha ya sasa ninayoishi ningeishi siku za nyuma, lakini yote ya Mungu labda maisha yale nisingeyaishi siku za nyuma, ningekuja kuyaishi baadaye,” alisema Lulu. Katika hatua nyingine, alisema anavutiwa na kazi ya msanii wa bongo fleva, Bernard Paul ’Ben Pol’ ambaye tungo za nyimbo zake zinamkosha kuzisikiliza.

BONDIA MTANZANIA OMARI KIMWERI 'LION BOY' AMTWANGA MTHAILAND KWA KO YA RAUNDI YA KWANZA

Image
Omari Kimweri BONDIA Mtanzania Omari Kimweri  'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini   Australia amendelea kutamba katika nchi hiyo baada ya jana kumtwanga kwa  KO ya raundi ya kwanza bondia  Ekkalak Saenchan  wa Thailand   ikiwa ni mchezo wake wa 16 tangia angie katika ngumi za kulipwa akiwa nchini humo  Bondia huyo ambaye anaitangaza vema nchi ya Tanzania Kimataifa ameaidi kuwa ataenderea kutoa vipigo kwa mabondia  mbalimbali  pindi wakutanapo ulingoni  Bondia huyo aliezaliwa Tanzania katika jiji la Dar es salaam mwaka1982 amekuwa gumzo nchini humo kwa kuonesha mchezo mzuri unaowavutia raia wengi wa Australia na kuweza kuwa bondia namba moja katika nchi hiyo uku katika Dunia akishikilia nafasi ya 52 katika mabondia 450 duniani wenye uzito wa light flyweight Anasema lengo lake kubwa ni kuukamata ubingwa unaotambulika kimataifa Duniani wa WBA World light flyweight title unaoshikiliwa na bingwa namba moja Dunia

HIKI NDO CHOO CHA DHAHABU KILICHO NUNULIWA NA KANYE WEST NA MKEWE .

Image
Kwenye nyumba ya Kanye West Na Kim Kardashian yenye thamani ya dola Milioni 11 za Kimarekani kuna vitu vyenye thamani kubwa kama vitanda, jiko na makoche, ila kilicho make headline zaidi ni vyoo vyao vyenye thamani ya dola Milioni 1 za KiMarekani. Kwa mujibu wa HipHopWired.com , West na Kardashian wamenunua vyoo vinne vya Gold vyenye thamani ya dola milioni moja. Bonyeza Read More Uone Picha Zaidi     SOURCE-sammisago.com

SIMBA USO KWA USO NA COASTAL UNION KESHO TANGA

Image
Wekundu wa Msimbazi Simba, “Taifa Kubwa” muda huu wapo Mjini Tanga kwa ajili ya mechi ya kujipima uwezo dhidi ya wenyeji wa dimba la Mkwakwani, wagosi wa Kaya Coastal Union hapo kesho. Akizungumza kwa njia ya simu, kocha msaidizi wa Simba, Jamhuri Kiwhelo “Julio” amesema wachezaji wote  wapo salama na wapo safarini kuelekea Tanga ambapo kesho majira ya saa 10 jioni wanatarajia kucheza mechi moja kali ya kujipima ubavu  dhidi ya vijana wa Hemed Morocco, huku kivutio kikubwa kikiwa ni wachezaji wa zamani wa Simba ambao kwa sasa wapo Coastal, beki kisiki, Juma Said Nyoso na kiungo fundi, Haruna Moshi Shaaban Mnyamwezi “Boban”. Boban na Nyoso walitemwa enzi za kocha Mfaransa, Patrick Liewig baada ya kutolewa ligi ya mabingwa barani Afrika na LIbolo ya Angola kwa tuhuma za utovu wa nidhamu pamoja na akina Ramadhan Suleiman Chombo “ Redondo”, Ferlix  Mumba Sunzu, David Luhende, Juma

HARUNA CHANONGO - SINA AKAUNTI FACEBOOK - ANAYETUMIA JINA LANGU KWENYE MTANDAO HUO NI FEKI

Image
   Winga wa timu ya taifa ya Tanzania anayekipiga klabu ya Simba Haruna Chanongo amasema amesikitshwa mno na kitendo cha mtu asiyefahamika kutumia jina lake na picha kwenye mtandao wa Facebook. Akizungumza na mtandao huu kutoka Kampala alipo na timu ya taifa ya Tanzania inayojiandaa kucheza mechi ya pili kuwania nafasi ya kucheza kombe la CHAN, amesema yeye binafsi hana akaunti kwenye mtandao wa kijamii wa FACEBOOK lakini anashangaa amekuwa akipokea malalamiko kutoka kwa watu wa karibu kuhusu suala la akaunti hiyo. "Kiukweli mie sina akaunti Facebook, sasa nashangaa muda mwingine napata malalamiko kutoka kwa watu wangu wa karibu na hata mashabiki kuhusu mambo ya ajabu huyo aliyofungua hiyo akaunti anayafanya. Ninachotaka kuweka wazi mie sina akaunti Facebook hivyo watu wote wafahamu kuhusu hilo," alimaliza Chanango amepa kwamba leo akipata nafasi atajitahidi kwa hali na ma

MWALIMU NA MWANASIASA MKONGWE JOHN SHILATU AZIKWA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI

Image
 Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu John Shilatu likiingizwa kwenye gari kutoka mochwari.  Jeneza lenye mwili wa Marehemu Shilatu likiwa mbele ya kadamnasa wakati wa Ibada  Jeneza lenye mwili wa Marehemu Shilatu likipelekwa eneo atakalozikiwa maeneo ya makaburi ya kinondoni jijini Dar es Salaam. SOMA ZAIDI.... »

RAIS KIKWETE AKIWA ZIARANI NGARA MKOA WA KAGERA

Image
  Rais Kikwete akihutubia kijiji cha Rulenge   Rais Kikwete akihutubia umati Ngara   Rais Kikwete akihutubia umati Ngara   Rais Kikwete akisalimia wananchi Rulenge Rais Kikwete akiwasili Ngara

IRINE CHEPTAI WA KENYA AANGUKA NA KUZIMIA BAADA YA KUMALIZA MBIO ZA MITA 3,000

Image
Daktari wa kwanza kabisa kumkimbilia Irine Cheptai akihaha kuuzindua moyo wake baada ya kuzimia, alipokuwa akimaliza mbio za mita 3,000 kwenye Uwanja wa Olimpiki jijini London jana. Jopo la Madaktari wakihangaika kumpatia huduma ya kwanza Irine Cheptai, alianguka na kuzimia wakati akimaliza mbio za mita 3,000 kwenye Uwanja wa Olimpiki. Cheptai akiwa ametungikiwa mtungi wa hewa ya oksijeni, baada ya kuanguka na kuzimia kutokana na shambulio la moyo. Hata hivyo alikuja kurejewa na fahamu zake akiwa hospitali. Cheptai (wa pili kulia) akikimbia mbio za mita 3,000 kwenye Uwanja wa Olimpiki jijini London. LONDON, England Cheptai, binti wa miaka 21, alimaliza mbio akiwa nafasi ya 11, katika muda bora zaidi katika rekodi yake binafsi, alipotumia dakika 8:56.20, lakini akaanguka ghafla na kupoteza fahamu baada tu ya kuvuka mstari wa kumalizia MKIMBIAJI wa mbio ndefu wa kimataifa wa Kenya, Irine Chebet Cheptai jan

ANGALIA PICHA ZA KILICHOJIRI KATIKA USAHILI WA BONGO STAR SEARCH DAR

Image