ANGALIA PICHA ZA MSANII DIAMOND ENZI ZAKE ZA UTOTO


IMG_0042

Diamond Platinumz ametoa picha nyingine ambayo inawaonyesha yeye na ndugu yake Romie Jones wakiwa wadogo,  kuna picha kadhaa ameshawahi kuzitoa na zilionekana hapahapa millardayo.com. ambapo leo icheki hii picha tena kwenye enzi zao za utotoni wakiwa na baiskeliya kitoto ambayo ni moja ya vitu vikubwa sana kwa mtoto kuwa nayo kwa kipindi hicho, kwa wale mliokuwa nazo kama hizi BMX najua tunaelewana… ilikua nomaa
diamnd 
Diamond ni huyu wa katikati, Rommy Jones ni huyu wa mbele
rommy &diamond
Hii ni picha ambayo pia waliwahi kuiweka waziiii,source bongoclantz

Comments

Popular posts from this blog