TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA NISHATI KWA NCHI ZA AFRIKA
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akiongea wakati wa mkutano wa Mawaziri wanaohusika na masuala ya Nishati ambapo aliwatangazia wajumbe hao kwamba Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Bara la Afrika kuhusu Nishati Endelevu katika muda utaopangwa na Umoja wa Mataifa . Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa siku tatu wa Nishati Endelevu kwa Wote ( SE4ALL) ulioandaliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Eng. Yahya Samamba Katibu wa Waziri na Eng. Styden Rwebangila Watanzania wengine ambao ni sehumu ya Ujumbe wa Tanzania. Kutoka kushoto ni Bi. Venosa Ngow ( TPDC) Eng. Leonard Masanja kutoka Wizara ya Nishati na Madini na Eng Jones fredrick Olutu kutoka Wakala wa Nishati Vijijini ( REA) Na Mwandishi Maalum, New York Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeelezea utayari wake wa kuwa mwenyeji wa mkutano wa Bara la Afrika kuhushu Nishati Endelevu kwa wote. Ahadi hiyo imetolewa siku ya Ijumaa, na Waziri wa Nishati na Madini , Profesa Sospeter M