Posts

HAKIMU IRINGA AFUMANIWA AKIVUNJA AMRI YA SITA NA MKE WA MTU NDANI YA GARI

Image
KASHFA  kubwa  idara ya mahakama  Iringa ni  baada ya  hakimu mmoja  wa mahakama mjini hapa  kufumaniwa ndani ya gari ya mwanamke ambae ni mke wa mpiga  picha mmoja maarufu mjini hapa akivunja amri ya  sita ndani ya gari  nje ya ofisi ya mahakama  ya Mwanzo  bomani na jirani na ofisi ya mkuu wa  wilaya ya Iringa. Tukio  hilo  la aibu  limetokea usiku wa jana ambapo hakimu  huyo ambae anadaiwa  kuongoza kwa  michepuko na wake  za  watu  alifumwa na njemba  lenye mke akiendelea  kufungua kurasa za mama huyo ambae pia ni mwalimu wa  shule moja za kimataifa katika barabara ya Iringa-Dodoma Mwandishi wetu alielezwa  kuwa mpiga picha  huyo maarufu mjini hapa kwa muda amekuwa na mgogoro wa ndoa na mkewe  huyo kutokana na mwanamke  kuendekeza  michepuko na wanaume  tofauti  tofauti akiwemo hata  paroko . Kutokana na hali  hiyo jembe hilo liliamua kufikisha  suala hilo mbele ya  pirato kwa kutoka ndoa  hiyo ivunjjike na mahakama  hiyo ya mwanzo inadaiwa kuhukumu kimagumash

MAJI YA KUPONYA MAGONJWA GUMZO

Image
Watu mbalimbali wenye magonjwa  wakimiminika kwenye maji ya bwawa nchini Nigeria na kuoga  wakiwa na imani ya kuponywa magonjwa yao. WANADAMU  wanazidi kuegemea kwenye imani utata! Hivi karibuni, watu mbalimbali wenye magonjwa wamekuwa wakimiminika nchini Nigeria na kuoga maji ya bwawa yanayodaiwa yanaponya magonjwa papo hapo. Watu hao wakiwemo wazee, vijana waume kwa wake na wenye magonjwa mbalimbali wamekuwa wakizama kwenye maji hayo kwa urefu wa futi tatu hadi nne, wengi wakiwa uchi au nguo za ndani tu. Wengine huchota maji hayo na kuosha sehemu yenye tatizo hasa wale wenye kushindwa kuona au wenye vidonda sugu kama vile kansa, Ukimwi nakadhalika. Bwawa hilo limepewa jina la Orimiri lipo umbali wa kilomita 3 kutoka mji wa Nachi, Enugu nchini humo na liligunduliwa na watu wa Kabila la Fulani. Umati wa watu ukizidi kujitosa kwenye maji hayo huku wengi wao wakiwa utupu. Tangu kugunduliwa kwa bwawa hilo, zaidi ya watu 3000 wameshafika kuyaoga maji hayo kuanzia asu

Idadi ya Wanawake wanaoendesha Ndege, Treni, Malori na Mabasi Tanzania imetajwa na Wizara ya uchukuzi

Image
Ni mara chache sana tunapata takwimu kama hizi kutoka kwenye ngazi ya juu ya serikali ya Tanzania ndio maana hii stori imekua kubwa baada ya kutolewa na Waziri wa uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe bungeni Dodoma May 24 2014. Waziri Mwakyembe amesema pamoja na ugumu wa kazi ya udereva Tanzania kuna madereva Wanawake watatu wa mabasi makubwa na Wanawake wawili wa malori ya mizigo kwenda Lubumbashi Congo. Vilevile kuna Wahandisi Wanawake 15 wa mitambo kuongozea ndege, kuna Wanawake 8 madereva wa Treni, marubani 8 Wanawake, waongoza ndege 16 Wanawake. Huyu ni mmoja kati ya Wanawake Makondakta kwenye jiji la Dar es salaam ambao niliowaona kwa macho yangu ni zaidi ya watatu.

Angalia Picha za show ya KILI TOUR Moshi Kilimanjaro

Image
Ni show ambayo ilifanyika kwenye uwanja wa Ushirika Moshi Kilimanjaro na kuhudhuriwa na idadi kubwa ya watu wa nguvu wanaosupport bongofleva kuona list ya wakali akiwemo Ommy Dimpoz, Ney wa Mitego, Profesa Jay, WEUSI, Ay na FA, As

VIONGOZI WA MBWA MWITU NA PANYA ROAD WATIWA MBARONI DAR

Image
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwakamata viongozi sita wa makundi ya uhalifu maarufu kwa majina ya Mbwa Mwitu na Panya Road.Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kamishna wa Polisi wa kanda hiyo, Suleiman Kova, aliwataja viongozi hao kuwa ni Athumani Said (20), Joseph Ponela, Clement Petter (25) na Romans Vitus (18) wakazi wa Kigogo. Wengine ni Mwinshehe Adamu (37) mkazi wa Temeke na Daniel Petter (25) mkazi wa Yombo, huku kamanda huyo akibainisha kwamba maeneo yenye vijana hao wahalifu ni Kigogo, Magomeni, Tabata, Manzese na Mbagala ambapo askari wa kutosha wapo kwa lengo la kuwadhibiti. aliwaonya wanaoeneza uzushi kwamba makundi hayo ya wahalifu yamevamia maeneo hayo jambo alilodai kuwakosesha wananchi amani huku akisisitiza kuwa si kweli.Alisema uchunguzi wa jeshi hilo umebaini kwamba chanzo cha uvumi huo ni baada ya mauaji ya vibaka wawili walihusishwa na makundi hayo yaliyotokea Mei 18 na Mei 20 mwaka h

REAL MADRID YAICHAPA ATLETICO MADRID 4-1 NA KUTWAA `DEBE` LA 10 LA UEFA, BALE NI KIBOKO

Image
Gareth Bale aliifungia bao muhimu Real Madrid katika fainali ya UEFA.  Bale akinyanyua kombe la UEFA Bale akiwa na bendera ya nchi yake wakati akishangilia ushindi wa Real Madrid. Nahodha Iker Casillas akinyanyua kombe

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI TAREHE 25.05.2014

Image
MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

WANAHABARI KUMI, WAFANIKIWA KUINGIA FAINALI YA TUZO ZA HABARI ZA UTALII

Image
Frank Leonard alipopata fursa ya kuzungumza na wanahabari wa Arusha wakati wa ziara ya wanahabri wa Iringa jijini humo Jumla ya Waandishi wa Habari 10 wamefanikiwa kufikia hatua ya fainali ya Tuzo za Uandishi wa Habari za Shirika la Hifadhi za Taifa za mwaka 2013. Wanahabari waliofanikiwa kufika hatua ya fainali ni pamoja na Frank Leonard (Habari Leo), Jackson Kalindimya (Nipashe), Humphrey Mgonja (Radio SAUT FM), Raymond Nyamwihula (Star TV) na Vedasto Msungu (ITV). Wengine ni pamoja na Kakuru Msimu (Star TV), Gerald Kitabu (The Guardian), Salome Kitomari (Nipashe), David Rwenyagira (Radio 5) na Cassius Mdami (Channel Ten). Hafla ya utoaji Tuzo za Habari za TANAPA itafanyika siku ya Jumanne tarehe 27 Mei, 2014 jijini Mwanza ambapo Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu. Hafla hii itaenda pamoja na Mkutano wa kila mwaka baina ya TANAPA na Wahariri wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini inay

JK.ASHUHUDIA RAIS ZUMA AKILA KIAPO KUIONGOZA AFRIKA KUSINI KWA MARA NYINGINE.

Image
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Nelson Mandela Amphitheater katika jengo la Union Buildings mjini Pretoria kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini leo Mei 24, 2014   Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Nelson Mandela Amphitheater katika jengo la Union Buildings mjini Pretoria kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini leo Mei 24, 2014 Rais Jacob Zuma akila kiapo katika Nelson Mandela Amphitheater katika jengo la Union Buildings mjini Pretoria wakati wa sherehe za kuapishwa kwake  leo Mei 24, 2014

HARUSI YA MBUNGE MAARUFU WA VITI MAALUM CCM VICKIE KAMATA YAAHIRISHWA LEO MARA BAADA YAKUUGUA GHAFLA NA KULAZWA

Image
Mbunge Vicky Kamata akiwa amelazwa Hospitali ya Tabata General, Dar es Salaam jana Dodoma/Dar es Salaam. Ni matukio nadra kutokea katika maisha, lakini haya ndiyo yaliyomkuta Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Vicky Kamata, baada ya kuugua ghafla saa 36 kabla ya harusi yake.   Kuugua kwa bibi harusi huyo mtarajiwa, kumezua gumzo katika Viwanja vya Bunge mjini Dodoma na maeneo mengine nchini, kutokana na kile kilichoelezwa kwamba harusi hiyo ilipangwa kuwa ya kifahari ikitarajiwa kutumia Sh96 milioni. Kamata ilikuwa afunge ndoa leo katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mkombozi, Sinza Dar es Salaam na tayari kadi za mialiko zilishasambazwa kwa watu mbalimbali wakiwamo wabunge.   Habari za kuugua ghafla kwa mbunge huyo ambaye pia ni msanii wa muziki aliyetamba na kibao chake cha ‘Wanawake na Maendeleo’ zilianza kuzagaa kwa kasi juzi jioni nchini.  Kamata ambaye pia ni mtetezi wa haki za wa

FAIDA 17 UNAZOPATA PALE UNAPOJAMIANA na MWENZI WAKO

Image
Kujamiana (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana  katika maisha ya mwanadamu. Ni ukweli usiofichika kwamba wengi wetu tungependa kuwa na mwenza ambaye mnaridhishana katika tendo la ndoa. Si hivyo tu, bali tendo hili huleta maelewano katika uhusiano wowote ule.  Lakini, kuna faida zozote za kiafya za kufanya tendo hili? Ndiyo! Zipo faida kadhaa zinazotokana na kujamiana. Katika makala hii, mwandishi wako Dk. Khamis Hassan anajaribu kutueleza faida za kujamiana kiafya kama ambavyo imewahi kuonekana katika tafiti kadhaa zilizofanyika sehemu mbalimbali duniani.   1. Hulinda mwili dhidi ya magonjwa ya moyo: Wanawake ambao hufika kilele (orgasm) angalau mara mbili kwa wiki kila wanapojamiana, wana uwezekano mdogo sana (30% tu) wa kupata maradhi ya moyo tofauti na wale wasiofikia kilele.  Hii ni kwa vile homoni ya endorphin inayotolewa wakati wa kujamiana hupunguza msongo wa mawazo na hivyo kumuepusha mtu na magonjwa wa moyo. Aidha kujamiana angalau mara ta