Breaking News: Madrid Wamtangaza Lopetegui Kuwa Kocha Mpya
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Julen Lopetegui
Klabu ya Real Madrid imemtangaza Kocha wa sasa wa Hispania, Julen
Lopetegui kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo na atajiunga nayo baada ya
mashindano ya Kombe la Dunia
Msichana aliyefahamika kwa jina la Seche Mautamu, amebainika kujiuza kupita mtandao wa kijamii wa facebook kwa kuweka picha zake za utupu. Chini ni picha zake alizozisambaza mtandaoni kupitia account yake ya facebook. Ukienda kwenye profile yakenenda kwenye About utaona AMESEMA anasoma UDOM! - See more at: http://shiladeux.blogspot.com/2014/03/picha-za-utupu-zilizopigwa-na.html#sthash.f2P9nVLX.dpuf
Ilikuwa asubui Ya kuamkia Leo NiLipo washa sim yangu na kukutana na hiziz picha kwenye group moja hivi whatsapp Jamaa alio zituma inadaiwa kuwa alikuwa na mausiano na Huyu mwanadada aliepiga picha za utupu
Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe. Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema hakuna tofauti kati ya mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa aliyechukua fomu ya kugombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutokana na wote kutokuwa na ubavu wa kupambana na ufisadi. Zitto alisema hayo jana katika mkutano mkuu wa ACT- Wazalendo Jimbo la Kigoma Mjini, uliokuwa maalum kwa ajili ya kupiga kura ya maoni ili kupata mgombea wa ubunge wa chama hicho Jimbo la Kigoma Mjini. Alisema katika mazingira ya sasa ya kisiasa nchini, ni ACT-Wazalendo pekee ambacho kinaweza kusimama na kusema kinapambana na ufisadi. Alisema kutokana na chama hicho kuchukia rushwa ndiyo maana kimetoa msimamo kuwa hakiwezi kushirikiana na chama chochote ambacho maadili ya viongozi wake yanatia shaka. Zitto alisema uchaguzi mkuu wa mwaka huu utakuwa mgumu na ushindani m...
Comments
Post a Comment