ANGALIA PICHA YA KWANZA IRENE UWOYA NA NDUGU ZAKE WALIVYO TEMBELEA KABURI LA MUME WAKE



Familia ya @ireneuwoya8 yafanikiwa kuzulu (kutembelea) kaburi la marehemu NDIKUMANA… mama mdogo na mama uwoya washindwa kujizuia… Wamwaga machozi na kugala Gala juu ya kaburi huku wakihuzunika kupita kiasi… Taarifa zilizo tufikia ni kwamba walinusurika kuzimia kutokana na Pressure iliyosababishwa na kulia sana

Comments

Popular posts from this blog