Umewaona mapacha wa Beyonce?


Beyonce na mapacha wake.
MWANAMUZIKI maarufu duniani, Beyonce Knowles kwa mara ya kwanza ameawaanika hadharani watoto wake mapacha ikiwa ni takribani mwezi mmoja baada ya kujifungua.
Alichokiandika Beyonce Januari akiwa na mimba.
Muimbaji huyo kupitia mtandao wa Instagram, ameonyesha kuwa watoto hao wana mwezi mmoja tangu wamezaliwa.
“Sir Carter and Rumi 1 month today. πŸ™πŸ½❤️πŸ‘¨πŸ½πŸ‘©πŸ½πŸ‘§πŸ½πŸ‘ΆπŸΎπŸ‘ΆπŸΎ,” ameandika Queen Bey kwenye mtandao huo.
Mapacha hao waliozaliwa ni mmoja wa kike na mwingine wa kiume na tayari walishapewa majina ya Sir na Rumi.


Comments

Popular posts from this blog