WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA PROF PALAMAGAMBA KABUDI AWASILI OFISINI MJINI DODOMA

Waziri wa
Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba Kabudi akipokea shada la maua
kutoka kwa mtumishi Joyce Mtuma mara baada ya kuwasili Wizarani mjini
Dodoma.

Waziri wa
Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba Kabudi akiangaalia kadi ya
Pongezi iliyoasiniwa na watumishi wa wizara mara baada ya kuwasili
Wizarani mjini Dodoma

WaziriwaKatibanaSheriaMhe.
Prof.Palamagamba Kabudi akisalimiana naNaibu Katibu Mkuu Bw. Amon
Mpanju mara baada ya kuwasili Wizarani mjini Dodoma

Waziri wa
Katiba na SheriaMhe. Prof.Palamagamba Kabudi akisalimiana na Jaji
mfawidhi Kanda ya Dodoma Mhe. Mwanaisha Kwariko alipowasili Wizarani
mjini Dodoma

WaziriwaKatibanaSheriaMhe.
Prof.PalamagambaKabudiakisikilizamaelezombalimbalialipokutananawatendajiwaWizaranaMahakamakatikaukumbiwamikutanoWizaranimjini
Dodoma.
………………..
WaziriwaKatibanaSheriaProf.PalamagambaKabudiamewasilikatikaOfisizaMakaomakuuyaWizarazilizokondaniya
Chuo Kikuu cha Dodoma
nakulakiwanawatumishiwaWizarawaliokomakaomakuuyaSerikalimjini Dodoma.
Prof Kabudialiapishwatarehe24/03/2017 Ikulujijini Dar Es
SalaamkuchukuanafasihiyobaadayaMhe.RaiskufanyamabadilikomadogokwenyeBaraza
la MawaaziriambapoDkt. Harrison MwakyembealihamishiwaWizarayaHabari,
Utamaduni, SanaanaMichezo.
NjeyaOfisizaWizaraMhe.
Prof. PalamagambaKabudialilakiwanaNaibuKatibuMkuu, Bw. AmonMpanju,
MkurugenziwaUtawalanaRasilimaliWatuBw. AloyceMwogofi, JajiMfawidhi Kanda
ya Dodoma nawafanyakaziwenginewaWizarawaliopoMakaoMakuuyaSerikalimjini
Dodoma.
Comments
Post a Comment