Mwanzilishi wa Facebook Alivyokutana na Akina Yemi Alade Nigeria

kunle afolayan mike zuckerberg photos
Lagos, Nigeria
MWANZILISHI na mmiliki wa mtandao maarufu duniani wa Facebook, Mark Zuckerberg juzi Jumanne alianza ziara yake ya siku mbili nchini Nigeria, ikiwa ni ziara yake ya kwanza kwa nchi za Afrika, na kukutana watu mbalimbali wakiwemo wasanii maarufu wa uigizaji filamu na muziki nchini humo.
mark zuckerberg nollywood starsKatika ziara hiyo, Zuckerberg aliwasili Lagos Jumanne na kufika kwenye kituo maarufu cha ubunifu wa masuala ya mitandao ya kijamii cha Yaba, kilichopo eneo lijulikanalo kam Silicon Valley.
naija talent loungeZuckerberg alifanikiwa kutoa elimu ya biashara na masoko kwa watu waliohudhuria kwenye mkutano wake huku akitanua wigo wa watumiaji wa mitandao anayoimiliki ikiwemo Facebook, Instagram na WhatsApp.nollywood stars meet zuckerbergBaada ya somo hilo la juzi Jumanne, Zuckerberg jana aliamkia mitaani asubuhi akitembelea vijana kwenye Jiji la Lagos bila ulinzi. Alionekana akikifanya jogging kwenye daraja la Lekki Bridge na vijana. rita dominic mark zuckerbergBaadhi ya wasanii wa filoamu na muziki nchini Nigeria jana ni pamoja na Richard Mofe Damijo, Kunle Afolayan, Stephanie Okereke Linus, Rita Dominic, Chidinma Ekile, Yemi Alade na Bright Okocha Basketmouth.
rita dominic stephanie linusbasketmouth meet zuckerberg basketmouth facebook founder160901073145-mark-zuckerberg-kids-lagos-exlarge-169Akiwa na vijana kwenye kituo cha Coding huko Lagos, Nigeria.

Comments

Popular posts from this blog