MABADILIKO RATIBA YA MAZISHI YA MHE. BEATRICE SHELUKINDO - SASA KUFANYIKA KESHO NA SIO LEO HUKO OLOIRIEN JIJINI ARUSHA



 
Familia ya William H. Shelukindo inapenda kuwataarifu kuwa mazishi huko Arusha ya Mpendwa wao Beatrice Matumbo Shelukindo Mbunge wa zamani wa Kilindi sasa yatafanyika kesho siku ya Alhamisi tarehe 7/7/2016 na sio leo Jumatano tarehe 6/7/2016 kama ilivyotangazwa awali.
Mazishi yatafanyika kesho saa tisa alasiri pale pale eneo la Oloirien jijini Arusha.
Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa.
Jina la Bwana Lihimidiwe.
AMEN

Comments

Popular posts from this blog