Shilole, Vanessa Wamaliza Bifu Lao

1     Shilole (kulia)  akipashana jukwaani na Vanessa kabla ya shoo hiyo kuanza.
2Vanessa na Shilole wakijaribu kuelezea juu ya bifu lao.
3Mtangazaji wa kituo cha Clouds FM, Hamisi Mandi ‘B12’, akiwakaribisha Shilole na Vanessa Mdee tayari kwa kufanya shoo hiyo.
4Shilole akifanya makamuzi.
5Vanessa akikamua jukwaani.
6Baadhi ya mashabiki wakifuatilia shoo hiyo.
WAREMBO wanaofanya vyema kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Vanessa Mdee, usiku wa kuamkia leo wameweza kuvunja bifu lao ambalo limekuwa likivuma kwenye mitandao ya kijamii baada ya kukamua kwenye steji moja ndani ya ukumbi wa Bilicanas.
Habari/Picha: Musa Mateja/GPL

Comments

Popular posts from this blog