Tuhuma za Rushwa: Mbunge Ndassa Naye Afikishwa Kortini

1
Mbunge wa Sumve, Richard Ndassa.
MBUNGE wa Sumve, Richard Ndassa amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar, leo akituhumiwa kuomba rushwa ya Shilingi  milioni 30  akiwa kwenye Kamati za Bunge.
Ndasaa  anakuwa  mbunge  wa  nne  wa  CCM kupandishwa  mahakamani  kwa  tuhuma  za  rushwa  baada  jana wabunge Mh.Kangi Lugola wa jimbo la Mwibala, Mh.Sadiq Murad wa jimbo la Mvomero na Mh.Victor Mwambalaswa wa jimbo la Lupa kupandishwa  mahakamani kwa tuhuma za kuomba rushwa ya milioni 30 toka kwa mkurugenzi wa Wilaya ya Gairo  ili taarifa yake ipitishwe bila kujadiliwa.

Comments

Popular posts from this blog