BARAKA DA PRINCE NA NAJ WAONYESHEANA MAHABA HADHARANI, CHEKI PICHA HIZI

Couple ambayo inazungumziwa sana kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii na hata kwenye media ni ya Baraka Da Prince na Naj, Na hii ni baada ya tetesi kuwa Baraka amekuwa na tabia ya kuwapitia wasanii kimapenzi hadi kutungiwa jina la Zipu Mbovu.
Baraka na Naj baada ya kutoka kwenye show ya Friday Night Live ya EATV na EA Radio walienda kujimwaga kwenye kumbi mbali mbali za starehee na ndipo picha hii ikanaswa.
Unadhani Baraka na Naj watadumu kwenye mapenzi kutokana na jina walilonalo kwenye tasnia ya muziki?

Comments

Popular posts from this blog