WAZIRI MKUU MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA SERIKALI,VIONGOZI WA DINI NA WADAU WA MAENDELEO WA MKOA WA KAGERA

 Baadhi ya watumishi wa serikali, viongozi wa dini na wadau wa maendeleo wa mkoa wa Kagera wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa ELCT mjini Bukoba akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 13, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi wa serikali, Viongoze wa dini na wadau wa maendeleo wa mkoa wa Kagera kwenye  ukumbi wa ELCT mjini Bukoba Machi 13, 2016. Alikuwa katika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa wa Kagera.

Comments

Popular posts from this blog