Uchaguzi wa Meya Dar: Isaya C. Mwita(CHADEMA) aibuka mshindi

IMG-20160322-WA0105.jpgHuyu ndiye Meya wa Jiji la Dar es salaam.IMG-20160322-WA0107.jpg
Meya wa jiji la Dar es Salam, Isaya Charles akisaini.eo ndo siku ya uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar es salaam. Viongozi wakuu wa UKAWA wameshawasili ukumbini.

Viongozi wa UKAWA wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chadema taifa Freeman Mbowe, Katibu Mkuu wa Chadema Dk.Mashinji, Naibu wa katibu wakuu; Salum Mwalimu na John Mnyika, pamoja na aliyekuwa mgombea uraisi na PM mstaafu Mhe. Edward Lowassa wameshawasili ukumbini.

Ikumbukwe kuwa ombi la CCM la kuahirisha uchaguzi lilitupiliwa mbali na mahakama hapo jana na kuruhusu Uchaguzi huu ufanyike leo.

Muda huu taratibu zinaendelea ukumbini, tutawajuza..

FB_IMG_1458636523349.jpg

IMG-20160322-WA0065.jpg
Picha viongozi wa UKAWA wakiwa ukumbini kusubiri taratibu zinaendelea.

IMG-20160322-WA0087.jpgIMG-20160322-WA0094.jpgIMG-20160322-WA0088.jpgIMG-20160322-WA0071.jpg

- Kituko cha mwaka madiwani 5 wa CCM wameingia mitini hawajaonekana ukumbini.

Comments

Popular posts from this blog