Clouds media wamtembelea Chid Benzi Bagamoyo


Wanafamilia wa ‪#‎CloudsMediaGroup‬ kutoka katika vipindi vya ‪#‎PowerBreakFast‬‪#‎Clouds360‬ na ‪#‎Harakati‬wametembelea kituo cha Life &hope Rehabilitation centre "Bagamoyo" mahali ambapo Rapa Chidy Benz anapatiwa matibabu, wameongea na watumiaji sugu wa madawa ya kulevya ambao wanapatiwa matibabu katika kituo hicho kuhusu uzoefu wao hapo.
Inategemewa kuwa Chidy Benz itamchukua siku 90 kuondoa madawa katika mwili wake na miezi 6 kumaliza matibabu yake kabisa. Pia wamewatakia sikukuu njema ndugu zetu hao.

Comments

Popular posts from this blog