BREAKING NEWZZ.....KUANZIA SASA WASOMI WENYE CHETI ZAIDI YA KIMOJA KUTO PATA KAZI SERIKALINI,NI WALE WALIO RISIT KWA KUTAFUTA CREDIT.




KUNA TAARIFA ZINAENEA KWA KASI MITANDAONI KUHUSU SERIKALI KUTO KUWAPOKEA WASOMI WENYE CHETI ZAIDI YA KIMOJA KATIKA AJIRA..UJUMBE WENYEWE UNAMUHUSISHA WAZIRI SIMBA CHAWENE NA UKISOMEKA HIVI:-

Wazir Simba chawene ametoa tamko la serikali kuwa , serikali ya Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania haiko tayari kuajiri wasomi wenye vyeti vya baraza la mitihani kuanzia vyeti viwili na kuendelea,watakaopata ajira yoyote ile ya moja kwa moja serikalini ni wasomi wenye cheti kimoja tu,.Wale waliosoma kwa kuunga unga ,mara kutafta credit,mara kurudia mitihan watafte ajira kwa mashirika binafsi.Serikali inataka kuwaajiri wasomi wenye cheti kimoja tu waliosoma moja kwa moja.System hii itaanza kwenye ajira za walim za mwaka huu 2016 zinazoenda kutangazwa mda c mrefu mwezi wa nne mwanzoni.simba chawene ameyasema hayo akiwa na waandishi wa habar pale jijin Dar leo majira ya asubuh ili kuwajuza watanzania kuwa ni tamko la serikali.
Rai kwa weny vyeti vingi,mtakua mnaomba ajira kivyenu serikalin au kwa mashirka binafsi na c kuajiliwa moja kwa moja kutoka serikali km ilivokua awali.
Samahan kwa usumbufu uliojitokeza.
Imetolewa na Afsa mawasiliano, wa Tamisemi.

Ndg.Elnest kimash
Dar es salaam.

Comments

Popular posts from this blog