BREAKING NEWZ:Takukuru Imewapandisha Kortini Wabunge Hawa Leo kwa Rushwa.

mahakama kisutu (1)Kutoka kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Mh. Kangi Lugola, Mbunge wa Mvomero Mh. Sadiq Murad pamoja na Mbunge wa Lupa Mh. Victor Mwambalaswa.mahakama kisutu (2)
Wakijadiliana jambo
Dar es Salaam
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), leo imewaburuza kwenye Mahakama ya Kisutu jijini Dar, wabunge wa 3 wa Kamati za Kudumu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaotuhumiwa kwa rushwa.
Wabunge hao ni Mbunge wa jimbo la Mwibara, Mh. Kangi Lugola, Mbunge wa Mvomero Mh. Sadiq Murad pamoja na Mbunge wa Mh.Victor Mwambalaswa.
Taarifa zaidi za tukio hilo zitawajia kadri tutakavyozipata.

Comments

Popular posts from this blog