BREAKING NEWS:Waziri wa elimu amfuta kazi Mkurugenzi wa Bodi ya Mikopo


Waziri wa Elimu Sayansi, Teknolojia na ufundi, Prof Joyce Ndalichako.
Waziri wa Elimu Sayansi, Teknolojia na ufundi, Prof Joyce Ndalichako amesitisha mkataba wa kazi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo  George Nyatenga. 
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo  George Nyatenga.
Pia amewasimamisha kazi wakurugezi watatu wa Bodi hiyo ambao ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala Yusufu Kisare, Mkurugenzi wa Urejeshaji Mikopo Juma Chagonja na Mkurugenzi wa Upangaji na Utoaji Mikopo.
Prof Ndalichako  amemwagiza Mkaguzi wa ndani Mkuu wa Serikali ahakiki maelezo na Nyaraka zilizowasiliwa na Bodi ya Mikopo pamoja na kufanya ukaguzi maalum kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2013 hadi sasa.

Mesothelioma Survival Rates About 40 percent of patients with mesothelioma survive the first year after diagnosis. That survival rate depends on many factors, including age, cancer stage,

Comments

Popular posts from this blog