Breaking News: Ghorofa Latitita Kariakoo, Dar
WANANCHI waishio
maeneo ya Mtaa wa Mchikichini na Livingstone, Kariakoo jijini Dar es
Salaam, wamekumbwa na taharuki baada ya ghorofa linalojengwa eneo hilo
kutitia leo.Chanzo: ITV
WANANCHI waishio
maeneo ya Mtaa wa Mchikichini na Livingstone, Kariakoo jijini Dar es
Salaam, wamekumbwa na taharuki baada ya ghorofa linalojengwa eneo hilo
kutitia leo.
Comments
Post a Comment