Basi lagongana na lori na kuua watu Singida


BREAKINGNEWS3ajali basi
basi (1)basi (2)basi (3)
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba watu kadhaa wamepoteza maisha katika ajali mbaya iliyotokea baada ya basi la abiria la Takbir lenye namba za usajili T 230 BRJ lililokuwa likitokea jijini Dar es Salaam kwenda Mwanza kugongana uso kwa uso na lori eneo la Shelui mkoani Singida usiku huu.

Comments

Popular posts from this blog