Rais Kikwete afungua Mkutano wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki

Rais Kikwete akifungua Mkutano wa siku tatu wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki unaofanyika katika Hoteli ya Malaika Beach Resort Mwanza.
.Baadhi ya washiriki wa Mkuano huo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki
(picha na Freddy Maro)

Comments

Popular posts from this blog