PICHA ZA SIMBA WAKIIDUNDA 2-0 URA

Mshambuliaji Kelvin Ndayisenga akishangilia baada ya kuifungia Simba goli la kwanza
Timu ya Simba SC jana ilishinda 2-0 katika mchezo wake wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya timu ya URA FC ya Uganda,  mechi ikipigwa uwanja wa Taifa, Dar e salaamHapa nimekuwekea picha zikionesha matukio mbalimbali wakati mcheo huo ulivyokuwa ukiendelea.Kelvin Ndayisenga (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia timu yake goli la kwanzaWatoto wazuri nao walikuwepo wakishuhudia mtanange kati ya Simba na URA FC
Simba vs URA 9
Simba vs URA 8
IMG_7567
IMG_7543
Juuko Murshid (kulia) akishangilia pamoja na Ibrahim Ajibu baada ya kuifungia timu yake goli la pili
Juuko Murshid (kulia) akishangilia pamoja na Ibrahim Ajibu baada ya kuifungia timu yake goli la pili
9
4
Simba vs URA 5
Simba vs URA 4
Kikosi cha URA kilichoanza dhid ya Simba SC
Kikosi cha URA kilichoanza dhid ya Simba SC
Kikosi cha timu ya Simba SC kilichoanza kwenye mchezo dhidi ya URA
Kikosi cha timu ya Simba SC kilichoanza kwenye mchezo dhidi ya URA
Wachezaji wa Simba kabla ya kushuka kwenye gari
Wachezaji wa Simba kabla ya kushuka kwenye gari
Basi la Simba likiwasili uwanja wa Taifa
Basi la Simba likiwasili uwanja wa Taifa

Comments

Popular posts from this blog