Maandalizi Ya Uzinduzi Wa Kampeni Za UKAWA Jangwani












"Nimealikwa kuzungumza na wanawake wa jiji la Dar Es Salaam. Nimewaambia kuwa UKAWA tunatambua kuwa wanawake ndio msingi wa taifa letu na tumejipanga vizuri kuzimaliza changamoto zinazowakabili. Kiupekee nampongeza Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdee na Mama Regina Lowassa kwa hotuba zao zenye kuhamasisha ukombozi miongoni mwa wanawake. Nimetumia fursa hiyo pia kutoa shukrani za pekee kwa wanawake wote nchini kwa kuendelea kuniunga mkono. Nimesisitiza pia wajitokeze kwa wingi kutupigia kura ili kwa pamoja tulete mabadiliko na tuanze mapambano ya kumaliza tatizo la umaskini hapa nchini. Tuko Tayari kwa Mabadiliko".-Edward Ngoyai Lowassa




































Comments

Popular posts from this blog