BREAKING NEWZZ, JESHI LA POLISI LAKANUSHA TAARIFA ZA KUPIGA MARUFUKU MSAFARA WA LOWASSA, SOMA HAPA WALICHOSEMA

 
Kamanda Kova asubuhi ya leo akiongea na ITV amekanusha taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo whatssap kuwa watu wasiokuwa na shughuli mjini wasiingie kwa sababu mgombea wa CHADEMA atakuwa anachukua fomu na foleni itakuwa kubwa pia itahusisha magari, pikipiki, guta, baiskeli na helikopta na wameweka jina langu, pili amesema maandamano yataanzia makao makuu ya CUF Ilala saa tatu asubuhi, njia waliyoandaa jeshi la polisi ya kiusalama itaanzia UFIPA, Kinondoni kupitia Salender Bridge kuelekea ofisi za NEC.

Amewaambia wananchi waje mjini kama kawaida kwa sababu wengine rizki yao inategemea kuamka kwake na kujishughulisha asubuhi mpaka jioni na ukiwaachia tu watu kwa ajili ya kuchukua fomu itakuwa tatizo.

Tunachukua fursa hii kukanusha haya maelezo sio ya kwetu hata jinsi jinsi tangazo sio namna yetu ya kuandika taarifa na watu waache kupotesha watu kupitia mitandao kwa sababu masuala ya kiusalama ni nyeti sana. Maandamano ni kitu sisi Polisi tunaratibu, hivyo tunasema njia ambayo sisi polisi tumeiandaa ni kuanzia CHADEMA kwenda NEC, njia za kupitiana kila ofisi kidogo ina kasoro ambayo italeta madhara kwa wananchi na kisheria mgombea huyu anatokea CHADEMA, kumekuwa na juhudi za kutosha kuwasiliana na viongozi wa chama husika na nadhani hata mwenyekiti wa tume ameshawasiliana na viongozi. Jeshi la polisi liko tayari kuwalinda mgombea pamoja na watu wake lakini ni kwa njia ya Kinondoni maana ndio kazi yake ila hio ya kwenda sehemu mbalimbali inaleta tatizo.

Comments

Popular posts from this blog