RAIS GLOBAL PEACE FOUNDATION TANZANIA DR. SALEM ABDULLA ALIPOAGANA NA MARAIS NA MAWAZIRI WA NCHI 20 ZA DUNIA LEO ASUBUHI ZANZIBAR LIVE!

 Mkutano huu ulihudhuriwa  na nchi 20.na mabalozi.marais.wabunge. viongozi wa dini mbali mbali.
 Dr. Salem Abdulla rais wa Global Peace Foundation Tanzania leo asubuhi baada ya kukifunga rasmi kikao cha semina kilichofanyika Zanzibar kilichowakutanisha Marais wa sasa na wa zamani wa Nchi kadhaa za KiAfrika na pia Viongozi wa Dini.
 
      semina ilihudhuriwa kwa muda mchache na mgombea Urais mteule wa CCM Dr. Magufuli ambaye alipitia hapo kumuona rafiki yake wa karibu sana Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Bw. Raila Odinga

Comments

Popular posts from this blog