TAIFA STARS YATOLEWA COSAFA KWA AIBU, YATWANGWA 2-0 NA MADAGASCAR

Taifa Stars imefungwa mabao 2-0 na Madagascar na kutolewa katika michuano ya Cosafa.
Stars imeonyesha kiwango cha chini na kupoteza mchezo huo.
Maana yake, kwa kipigo hicho, Stars imecheza mechi mbili bila bao wala pointi baada ya kuwa imepoteza kwa mabao 1-0 dhidi ya Swaziland.
Sasa Stars imebakiza mechi moja tu dhidi ya Lesotho ambayo itakuwa ni kama ya kirafiki tu.






Comments

Popular posts from this blog