BOSS LADY ZARI ATUA MWANZA KWA SIRI SIKU YA JEMBEKA FESTIVAL.

Mama kijacho wa msanii nyota Diamond Platinum atua jijini Mwanza kumsindikiza kipenzi chake kazini.Wengi hawakuweza kufahamu uwepo wake kutokana na usiri uliowekwa na star huyo wa bongo fleva kwa sasa.

Tukio hilo linafananishwa na lile la ujio wa mwanamuziki wa hiphop Jay Z miaka ya nyuma na mkewe Beyonce bila mashabiki kutambua.Ingawa washabiki wa Diamond Platinum wana hamu ya kumuona boss lady huyo.

Comments

Popular posts from this blog