TAZAMA DIAMOND NA ZARI WALIVYOJIACHIA VISIWANI ZANZIBAR
Mwanamuziki Nasibu Abdul 'Diamond' akijiachia na mpenzi wake Zarinah Hassan 'The Boss Lady' Visiwani Zanzibar.
Diamond akilibusu tumbo la mpenzi wake Zari ambaye ni mjamzito.
Zari
na Diamond wakizidi kula maisha huko Zanzibar walipokwenda kwa ajili ya
shoo iliyofanyika Juni 25, mwaka huu.STAA wa Bongo Fleva nchini, Nasibu
Abdul 'Diamond' na mpenzi wake Zarinah Hassan 'The Boss Lady' wamezidi
kuonyesha kuwa penzi lao linazidi kuimarika baada ya Zari kuachia picha
Instagram wakiwa 'close' walipokwenda Visiwani Zanzibar juzi.Wapenzi hao walikuwa Zanzibar kwa ajili ya shoo ya Diamond iliyofanyika Jumamosi (Aprili 25, mwaka huu) usiku huko Ngome Kongwe.
Mojawapo ya picha za wapendanao hao imbayo imeenea mitandaoni ni ile ambayo Diamond analibusu tumbo la Zari mwenye ujauzito unaodaiwa kuwa wa staa huyo.
Comments
Post a Comment