IRENE UWOYA ANA MIMBA YA PILI?! SOMA ALICHOKIANDIKA NA TAZAMA PICHAZ HAPA...
Staa
mrembo wa Bongo, Irene Uwoya amewaacha njia panda mashabiki wake baada
ya kubandika picha mtandaoni akionekana yupo bafuni akiwa amejishika
tumbo na kuiandikia maneno akiwatata mashabiki wamtajiae majina mazuri
ya kike.
“Ntajie majina mazuri yakike unayoyapenda.....”- Uwoya aliandika.
Kauli hii ilizua maswali mengi kutoka kwa mashabiki wakioji kama mrembo ambae ni mama wa mtoto mmoja kama anaujamzito au la, wengine walienda mbali zaidi wakisema kuwa inawezekana akawa ni mjauzito na anatarajia kujifungua mtoto wa kike.
Mbali komenti nyingi kumtaka atoe maelezo zaidi juu ya hili, Uwoya hakujitokeza kusema lolote hivyo hadi sasa mashabiki wake wapo njia panda wakijiuliza, …ana ujauzito au hana?
Swaga
kama hizi ya mtandaoni huwa mara nyingi zina maaanisha picha picha za
tumbo zimekuwa nyingi sana kutoka kwa mrembo huyo. ngoja tuendelee
kusubiri kwani hili ni jambo la kheri.
Mzee wa Ubuyu

kusubiri kwani hili ni jambo la kheri. Mzee wa Ubuyu
Comments
Post a Comment