NANI ZAIDI KWA UZURI KATI YA WEMA SEPETU NA ZARI THE LADY BOSS ?

Kwenye Mitandao ya Jamii Hasa Instagram kwa Sasa zimeibuka Team Mbili Kubwa zinazoshinda huko kwa Kupeana Vijembe vya Hapa na Pale Kuhusu Wema Sepetu na Mrembo Zari The Lady Boss wa Uganda, Ushandani huo wa Team Zari na Team Wema Umekuja Baada ya Mwanamuziki Diamond Kuwa na Mahusiano ya Kimapenzi na Wote hao wawili kwa Muda tofauti ambapo kwa sasa Diamond Ameweka Wazi Kuwa anatoka na Zari ..

Ubishi mmoja wapo ni kuwa nani ni mzuri wa Umbo na Sura kati ya wema Spetu na Zari , Nasisi hatuna hiyana tumeona tuwabambanishe Hapa tuone nani atapata kura nyingi ...

Haya Nani Mrembo zaidi kati ya Wema Sepetu na Zari The Lady Boss?

Comments

Popular posts from this blog